jaman mimi lisu ukiacha kama mwanadamu mwenzangu ambae anawezakulingana na baba yangu lakini sija ona lolote toka kwake kama tunavyo aminishwa kwamba wengi wa watanzania mioyo yao ipo kwake, bado ninakukmbu kumbu za docter slaa na lowasa ilikua hivi hivi na kuzidi lakini matokeo yake leo hii wanaoneka kama taka taka katika ulimwengu wa siasa, na si shaka na huyu nae, sijui vijana nini kinatukwamisha!!!