Matokeo ya "Oral Interview" pale WCF

Matokeo ya "Oral Interview" pale WCF

wcf sina hamu nao daaah all the best kwa walioajiriwa
 
Vuta subira boy...mwaka jana walio ajiriwa waliipigiwa cmu kwa ajili ya kuanza kazi 4mnths baada ya kufanya oral.
Unaeza ukaona hata muda walochukua kufanya shortlist zao.
Ww kama ulifanya vizuri oral, kua na subira utatoboa tu.its just a matter of time.
 
Back
Top Bottom