Matokeo ya nacte yanatoka lini?

Matokeo ya nacte yanatoka lini?

Ingia kwenye wavuti yao,kama kuna sehemu ya kutuma maoni basi waulize
 
Tarehe 9_14 ndo wanakuwa wanachagu ,kwahiyo kuazia tareh 15 mwezi ujao ndo watatangaza
 
Kama umeomba kozi za afya ,omba na nyingine mkuu muda bado haujafungwa
 
Back
Top Bottom