Matokeo ya Marudio za Chaguzi za Serikali ya Mitaa Jijini Arusha 2016

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
WILAYA YA ARUSHA MJINI
S.L.P 12525, NGARENARO - ARUSHA

MATOKEO YA UCHAGUZI WA MARUDIO WA SERIKALI ZA MITAA, 2016
ARUSHA MJINI

1. ELERAI - AZIMIO CHADEMA 524 VS ccm 283
2. ELERAI - MAMA MUSA CHADEMA 196 VS ccm 166
3. MOSHONO - KALIMAJI ccm 199 VS CHADEMA 167
4. KATI - BONDENI ccm 207 VS CHADEMA 110
5. SINONI - MAKAO MAPYA ccm 338 VS CHADEMA 262
6. DARAJA II - NDARVOI CHADEMA 452 VS ccm 181
7. DARAJA IISANARE CHADEMA 381 VS ccm 381
8. SOMBETINI - OLAMURIAKI ccm (KO) VS CHADEMA (Tulikimbiwa na Mgombea wetu)

Maelezo sahihi;
Baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 14/12/2014
ccm MITAA 78
CHADEMA MITAA 76
JUMLA ni MITAA 154

Katika Uchaguzi huu wa Marudio wa Serikali za Mitaa
Wenyeviti wa ccm waliojiuzulu nyadhifa zao na kuhamia CHADEMA 7
Mwenyekiti mmoja (1) wa CHADEMA alifukuzwa Uanachama 1
Jumla ya nafasi zilizogombaniwa ni nane (8)
ccm Viti 4
CHADEMA Viti 3
Mtaa mmoja wa SANARE Kata ya DARAJA MBILI Uchaguzi utarudiwa kwa sababu Wagombea kura zimelingana

Current status

CHADEMA Viti 78
ccm Viti 75

Imetolewa na;

KURUGENZI YA HABARI NA MAWASILIANO
CHADEMA WILAYA YA ARUSHA MJINI
 
Hapa chama kimepiga hatua,kutoka O hadi 78 kwa 75, huku ccm ikiendelea kutoa ahadi

Ilitoa 1995,1996,-2000 chini ya Mkapa,kwa kigezo kufunga mikanda looh! Ilipofinguka Meremeta,Kagoda na Buzwagi

Akaja 2005-20015 maisha bora kwa kila mtanzania looh! Na ziara za kustukiza,yalipoanza Escrow,Richmond,Na zile za Vasco dagama Duh!

Haya sasa hapa kazi tu!
 
Hiii ni Arusha sio Dodoma
 
.....

.....Mkuu Arusha sisiemu wanapoteza muda tuu
 
Haya matokeo yanatishia UHAI wa CHADEMA Jimbo la Arusha kwa siku zijazo...
Ngoja nikuweke kumbukumbu sawa kwenye chaguzi zilizopita ccm walikua wamewazidi chadema kwa wenyeviti 2 wa serekali za mitaa lakini imewageuka
 
Kwa Chadema niliyokuwa naifahamu siyo ya kupishana na Ccm kwa uchache huo, taratibu wanaanza kuvunja ngome za Chadema...
 
Haya muulizeni yule SHOGA kwa nini kavuna wananchama 301 halafu mavuno ghalani hayaonekani? Ni wakati sasa wa ccm kujaribu mbinu nyingine, Mkapa kafeli, Mwigulu kafeli, huyu shoga nae kafeli, acheni kupoteza hela kujenga chama ARUSHA, pelekeni kwenye mikoa inayo wakubali.
 
Kwa Chadema niliyokuwa naifahamu siyo ya kupishana na Ccm kwa uchache huo, taratibu wanaanza kuvunja ngome za Chadema...
Hakuna ilipovunjwa kumbuka hiyo mitaa yote 8 kasoro moja ilikua niya ccm na sasa tumeshachukua 3 na baado huo moja ambao kura zililingana na kumbuka mtaa moja mgombea wa chadema hajulikana alipo mpaka leo kabala hata ya uchaguzi
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
WILAYA YA ARUSHA MJINI
S.L.P 12525, NGARENARO - ARUSHA

MATOKEO YA UCHAGUZI WA MARUDIO WA SERIKALI ZA MITAA, 2016
ARUSHA MJINI

1. ELERAI - AZIMIO CHADEMA 524 VS ccm 283
2. ELERAI - MAMA MUSA CHADEMA 196 VS ccm 166
3. MOSHONO - KALIMAJI ccm 199 VS CHADEMA 167
4. KATI - BONDENI ccm 207 VS CHADEMA 110
5. SINONI - MAKAO MAPYA ccm 338 VS CHADEMA 262
6. DARAJA II - NDARVOI CHADEMA 452 VS ccm 181
7. DARAJA IISANARE CHADEMA 381 VS ccm 381
8. SOMBETINI - OLAMURIAKI ccm (KO) VS CHADEMA (Tulikimbiwa na Mgombea wetu)

Maelezo sahihi;
Baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 14/12/2014
ccm MITAA 78
CHADEMA MITAA 76
JUMLA ni MITAA 154

Katika Uchaguzi huu wa Marudio wa Serikali za Mitaa
Wenyeviti wa ccm waliojiuzulu nyadhifa zao na kuhamia CHADEMA 7
Mwenyekiti mmoja (1) wa CHADEMA alifukuzwa Uanachama 1
Jumla ya nafasi zilizogombaniwa ni nane (8)
ccm Viti 4
CHADEMA Viti 3
Mtaa mmoja wa SANARE Kata ya DARAJA MBILI Uchaguzi utarudiwa kwa sababu Wagombea kura zimelingana

Current status

CHADEMA Viti 78
ccm Viti 75

Imetolewa na;

KURUGENZI YA HABARI NA MAWASILIANO
CHADEMA WILAYA YA ARUSHA MJINI
Tumeelewa na umeeleweka. ccm hawana haja ya kusema kwani katika saba wamerudi wanne bado hasara.
Ushauri wangu kwa ccm wavute subira mtoto bado anachezea toi atachoka nanyi mtaendelea kutumia kifasaha kwani ndio mnaojua sababu ya kuwapo kwa nafasi hizo.
 
Back
Top Bottom