AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Nadhani hapo kwa Lusinde atoke liwekwe jina la Kafulila,kama tunaweka wapigania maendeleo ya nchi ni vyema Lusinde atolewe hapo lakini kama tunaweka hata machizi kwa kutukana majukwani basi Lusinde abaki.MATOKEO YA KURA:
1.John Mnyika
2.Zitto Kabwe
3.Prophet G. Lema
4.Deo filikunjombe
5.Joseph Mbilinyi (sugu)
6.Nape Nnauye
7.January Makamba
8.Halima Mdee
9.Joshua Nassary
10.livingstone lusinde
"KARIBUNI KWA UCHAMBUZI NA COMPLAINTS"
Nadhani hapo kwa Lusinde atoke liwekwe jina la Kafulila,kama tunaweka wapigania maendeleo ya nchi ni vyema Lusinde atolewe hapo lakini kama tunaweka hata machizi kwa kutukana majukwani basi Lusinde abaki.
Ungeweka idadi ya kura walizopata ingefaa sana
Zitto Kabwe. 2. Mnyika 3. "Field marshal" Lema
kachakachua
mkubwa!naomba ututake ladhi hasa tulio piga kura,tafadhali sana nitapendezwa kwa busara ulizo nazo ukatutaka radhi hasa hapo kwenye redMwanasiasa kijana ana faida gani hasa zaidi ya kunyonya kodi zetu? Ujinga mkubwa huu.
Siasa zitapita, bali neno la Mungu litadumu milele.
Inawezekana kuna member amepiga kura zaidi ya moja, au amepiga kura kwa wagombea zaidi ya moja, hajatuambia kura halali zilikuwa ngapi, zilizoharibika zilikuwa ngapi.
Mpaka Lusinde yupo! inatia mashaka
embu tupe idadi maana nilikua nafuatilia kura za kamanda wangu
mkuu umechakachua kama tume ya uchaguzi ZITTO hana mvuto Ukilinganisha na kamanda LEMA
mkubwa inabidi nirudi kwenye ile post nijumlishe mwenyewe ntawapa jibu,lakini anipe ruhusa,na aniambie kura ya mwisho iwe ya saa ngap