Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Okay ufaulu ukoje?
Website yao iko hovyo, web gani inakuambia fungua hapa kuona matokeo halafu ukifungua hukuti kitu.
presha hapa
Jaribu tena Mkuu. Yanafunguka
Website yao iko hovyo, web gani inakuambia fungua hapa kuona matokeo halafu ukifungua hukuti kitu.
Sasa hivi imefunguka.Yapo lakini ni shule chache sana ambayo mimi nimeyaona
Matokeo ya Kidato cha Sita yametangazwa mtandaoni rasmi na Baraza la Mitihani nchini almaarufu kama NECTA. Kuyaona matokeo hayo ingia hapa:NECTA | View News
http://necta.go.tz/matokeo/2015/Alevel.htm
Nimeanza kuchambua ingawa madaraja yao yananchanganya. Feza Boys imeshika nafasi ya kwanza
Matokeo ya Kidato cha Sita yametangazwa mtandaoni rasmi na Baraza la Mitihani nchini almaarufu kama NECTA. Kuyaona matokeo hayo ingia hapa:NECTA | View News
http://necta.go.tz/matokeo/2015/Alevel.htm
Peter, hakuna kitu