Matokeo ya kidato cha pili yatatoka lini?

86lnd

Member
Oct 12, 2014
85
16
Mwenyewe taarifa kuhusu matokeo ya kidato cha pili naomba anijuze maana shule zinakaribia kufunguliwa na mpaka sasa matokeo hayajatoka. Kuna ndugu yangu kafanya mtihani anasubiria majibu
 
Back
Top Bottom