Wala hicho si kiswahili cha bara labda katokea BurundiKiswahili kimekuwa kigumu hivo Siku hizi? Huyu mwandishi sijui katokea pande zipi za huko bara! Haeleweki kabisaa! Siyo lazima kila mtu achangie, wengine someni tu comments walizo andika wanao jua kujenga hoja na Lugha fasaha wanaijua. Wengine mnatochosha!
Fikiria mtu kama huyu na yeye anachangia hoja. Nadhani Ni vizuri aelekeze nguvu na muda wake mwingi kujifunza kiswahili kwanza ndio baadae akijua aje J f.Mahamuzi ,ajehelezea,haonyeshe, tuhendelehe duuuu!
Shauri yako,utavimba upasuke...tinti...mpaka utambue uwepo wa wenzako.Kiswahili kimekuwa kigumu hivo Siku hizi? Huyu mwandishi sijui katokea pande zipi za huko bara! Haeleweki kabisaa! Siyo lazima kila mtu achangie, wengine someni tu comments walizo andika wanao jua kujenga hoja na Lugha fasaha wanaijua. Wengine mnatochosha!
Dhana nzima ya siasa ni sayansi au ni mchezo kwa muktadha mzima wa sakata la Prof Ibrahim Haruna Lipumba na CUFUmeandika nini?
Hawa wenye Elimu uchwata jukwaa lao Ni huko Facebook, instagram na badoo.Shauri yako,utavimba upasuke...tinti...mpaka utambue uwepo wa wenzako.
Mungu amlaani lipumba kwa kuleta vurugu CufMungu mbariki Profesa lipumba afanikiwe. Aminaa
Mungu tupilia mbali wote wanaomlani Profesor Lipumba kwani ndie Mwenyekiti halali kikatiba na katiba ya CUF. AminaaMungu amlaani lipumba kwa kuleta vurugu Cuf
Mahamuzi ,ajehelezea,haonyeshe, tuhendelehe duuuu!