ndo athari za mgomo wa kmya kwa kmya! mpaka leo walimu wapo kwenye mgomo. na bado mambo yataendelea kuwa mabaya, serikali walipeni haki zao la sivyo nchi itendelea kuwa ya wajinga! sasa ndo tunaelekea kwa madaktari tusubili zahama ya vifo utakapoanza mgomo wa kmya kwa kmya wa madaktari kama hawatalipwa haki zao wakati wabunge wanajiongezea posho zisizo na tija!