Fantasticproducts
New Member
- May 28, 2016
- 2
- 0
Matofali yapo msongola wilaya ya ilala. Kila tofali utauziwa kwa bei ya shilingi 1200 pamoja na usafiri. Tunakuletea popote ulipo Dar es salaam.
Tunaweza fika mpaka 1100 tukiongea mkuu. Kama uko tayari ni check kwa namba 0713380288 kwa maongezi zaidi ya biasharaMbona mnauza bei ghari sana wenzenu wanauza 1100 pamoja na usafiri
Kama hiyo BEI ni pamoja na usafiri, basi BEI zenu ni nzuri.Matofali yapo msongola wilaya ya ilala. Kila tofali utauziwa kwa bei ya shilingi 1200 pamoja na usafiri. Tunakuletea popote ulipo Dar es salaam.