Nimeona wanasema kwamba huyu nyoka (Bi. Matilda) kule Southern Highland part of Tanzania. Kwa elimu yangu ya Geografia (Hello Mwal. Mzezele) nadhani ni mkoa fulani kule Kusini.sasa wakifanya location yake secret si ndio itakuwa encroached zaidi? I hope huyo matilda ambaye viper kawa named after ni mtanzania!
Mchungaji, huyu si kifutu bana!Hao Nyoka wapo tangia kale nikichunga mbuzi mimi ! Tuliwaita vifutu
Good news,
Natumaini wataalam hawa watashawishi jamii isiwatokomeze hawa nyoka.
Nina mashaka huo usiri wa eneo husika isije ikawa ni maandalizi ya kuwatoroshea nje....
Hawa watu Bwana, eti new species! Wakati unamkuta nyoka ameshakaa miaka na miaka halafu unatangazi new specie.