TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,991
- 22,066
Mahakama ni Mali ya CCM. Hii ni aibu nyingineAnajisumbua huyo
Ova
Ana pingamizi yenye mashiko, lakini haitatiliwa maanani kwa sababu INEC ni tawi la CCM.PINGAMIZI TAMU KUSOMA ๐
โโโ
Ester Matiko amewekewa Pingamizi na Mgombea wa ACT bwana Jackson Kangoye pale Tarime Mjini.
Sehemu ya Pingamizi linasoma kuwa hukumu ya Mahakama ya tarehe 14/12/2023 ilimpa uhalali wa uanachama Ester Matiko kuwa ni CHADEMA ili aendelee kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi tarehe 03/08/2025.
Hivyo Esther Nicholas Matiko alichukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akiwa mwanachama halali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa Hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam, tarehe 14/12/2023.
Hivyo kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sheria ya Vyama Vya Siasa na Hukumu ya Mahakama kuu Kanda ya Dar es Salaam hadi anachukua fomu kugombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado Esther Nicholas Matiko alikuwa mwanachama halali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na sio mwanachama halali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hivyo amekosa sifa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Tarime Mjini.
Maelezo yanasema Lakini pia inathibitisha Esther Nicholas Matiko hana uadilifu kwani alikula kiapo kuitetea na kuilinda na kuiheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lakini kinyume chake alienda mahakamani kutetea uanachama wake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), huku akiwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Alichofanya ni dharau kubwa kwa Mahakama Kuu ya Tanzania,
Na matiko ameomyesha kadi yake kuwa amekuwa mwana CCM tangu mwaka 2023 na wakagi huo huo ni Mbunge wa Chadema๐ค
Pingamizi lina mashiko lakini litatupwa kwani Covid ni project ya wakubwa.PINGAMIZI TAMU KUSOMA ๐

Huko sim zinapigwa tuMahakama ni Mali ya CCM. Hii ni aibu nyingine
Sure ni tawi kuu la CCMMahakama ni Mali ya CCM. Hii ni aibu nyingine
InasikitishaSure ni tawi kuu la CCM
Kaka, nadhani ulikiwa unamaanisha simu, eti ehhHuko sim zinapigwa tu
Sim moja tu
Ova
CCM imelifanya hili taifa kuwa la hovyo kabisaPingamizi lina mashiko lakini litatupwa kwani Covid ni project ya wakubwa.
Inec ni utopoloAna pingamizi yenye mashiko, lakini haitatiliwa maanani kwa sababu INEC ni tawi la CCM.
Na matiko ameomyesha kadi yake kuwa amekuwa mwana CCM tangu mwaka 2023 na wakagi huo huo ni Mbunge wa Chadema๐ค
Khaa makengeza alituchota akiliPINGAMIZI TAMU KUSOMA ๐
โโโ
Ester Matiko amewekewa Pingamizi na Mgombea wa ACT bwana Jackson Kangoye pale Tarime Mjini.
Sehemu ya Pingamizi linasoma kuwa hukumu ya Mahakama ya tarehe 14/12/2023 ilimpa uhalali wa uanachama Ester Matiko kuwa ni CHADEMA ili aendelee kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi tarehe 03/08/2025.
Hivyo Esther Nicholas Matiko alichukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akiwa mwanachama halali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa Hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam, tarehe 14/12/2023.
Hivyo kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sheria ya Vyama Vya Siasa na Hukumu ya Mahakama kuu Kanda ya Dar es Salaam hadi anachukua fomu kugombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado Esther Nicholas Matiko alikuwa mwanachama halali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na sio mwanachama halali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hivyo amekosa sifa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Tarime Mjini.
Maelezo yanasema Lakini pia inathibitisha Esther Nicholas Matiko hana uadilifu kwani alikula kiapo kuitetea na kuilinda na kuiheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lakini kinyume chake alienda mahakamani kutetea uanachama wake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), huku akiwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Alichofanya ni dharau kubwa kwa Mahakama Kuu ya Tanzania,
Na matiko ameomyesha kadi yake kuwa amekuwa mwana CCM tangu mwaka 2023 na wakagi huo huo ni Mbunge wa Chadema๐ค
Bwege huyu ana pesa za kuonga mahakamaAnajisumbua huyo
Ova