ong'wafaza
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 252
- 108
Yako shambani.
Bei maelewano,piga 0717221759 au 0686339972 kwa maelezo zaidi.
Bei maelewano,piga 0717221759 au 0686339972 kwa maelezo zaidi.
labda anaogopa watu wataenda kuyavuna usikuKwanini usiseme hapa kuwa yapo wapi?

Taja hata mkoa... Vocha zimekuwa ishu sana siku hizi... Umeamua kuluanzisha hapa, limalize hapa hapaPiga simu mkuu
Wewe ni dalali au mteja?Taja hata mkoa... Vocha zimekuwa ishu sana siku hizi... Umeamua kuluanzisha hapa, limalize hapa hapa
We kwako mteja una m define vipi!??Wewe ni dalali au mteja?
Kama ni mteja vocha tu inakuwa shida,je hela ya matikikiti itakuwaje?
Akili zingine bhanaWewe ni dalali au mteja?
Kama ni mteja vocha tu inakuwa shida,je hela ya matikikiti itakuwaje?