Mathematics na Chemistry

Mathematics na Chemistry

obinae

Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
32
Reaction score
19
Nina Bachelor degree(Education) ya masomo tajwa hapo juu, kwa mtu anayeweza kunisaidia kuniunganisha na kazi yoyote nitashukuru
 
Nina Bachelor degree(Education) ya masomo tajwa hapo juu, kwa mtu anayeweza kunisaidia kuniunganisha na kazi yoyote nitashukuru
Al muntazir school kama upo vzr nenda
 
Habari wadau naitwa Elifuraha Lyimo natafuta kazi ya Ualimu shule za msingi English Medium nna cheti cha daraja la 3 A nnafundisha masomo ya Mathematics , History,Sst , Civic and Moral,Kiswahili nipo Dar-es-Salaam mawasiliano yangu ni 0714954609 ahsante
 
Back
Top Bottom