Mateso, udhalilishaji na uhuni wanaofanyiwa CHADEMA tuseme inatosha

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Ndugu zangu hali ya kisiasa ilivyo nchini utadhani hakuna mkuu wa nchi, nimebahatika kuzungumza na Ester Bulaya kiukweli hali yake ni mbaya sana. Analalamika maumivu makali mgongoni na kifuani, anadai alikanyagwa na kufanyiwa dhihaka na kudhalilishwa na wanaume ambao walikua na hasira kama simba mwenye njaa.

Nimejikuta nakosa neno la faraja nimebaki nalia tu.

Tumwombe Mungu tuvuke salama maana ukatili unaoonekana sasa hivi utaatarisha usalama na mshikamano wa Taifa letu.

Mungu tunusuru na gonjwa hili hatari zaidi ya Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawa polisi hawana mama? hawana ndugu? Hawana dada zao? Je wao wanaishi nchi gani? Sio Watanzania? Hawaoni uhalisia uliopo mtaani?

Je ni shida ndio zinafanya wafate amri hata ambazo wanaona sio sawa? Je labda sio watanzania ni mamluki kutoka nchi jirani kwa mhutu hivyo hawana huruma na Watanzania? Mbona maswali ya kujiuliza hayaniishi kichwani?
 
Hivi hawa polisi hawana mama? hawana ndugu? Hawana dada zao? Je wao wanaishi nchi gani? Sio Watanzania? Hawaoni uhalisia uliopo mtaani?

Je, ni shida ndio zinafanya wafate amri hata ambazo wanaona sio sawa? Je labda sio watanzania ni mamluki kutoka nchi jirani kwa mhutu hivyo hawana huruma na Watanzania? Mbona maswali ya kujiuliza hayaniishi kichwani?
Polisi ni kazi ya mwisho ya masikini wanaotafuta ajira baada ya kufeli masomo, wengi ni wajomba ama watoto wa maaskari wastaafu.
 
Mimi naombea waendelee hivi hivi tu wasipoe. Roho mbaya na ya kikatili ya Magufuli haitosheki mpaka isikie maumivu yamewapata wanaopinga au kukosoa. Nafurahia ushahidi wote wanaoutengeneza ili huko mbeleni utumike kuwatia nguvuni Magu na genge lake.

Hakika dunia ya sasa si kama ya kipindi cha dikteta Idd Amin. Madikteta wote wa karne hizi huishia kuuawa wao tena kikatili. Saddam, Gaddafi, Al Bashir, n.k. Damu zisizo hatia hazipotei bure.

Tuiombee serikali ya wakoloni weusi na chama cha kikoloni cha.kijani waendelee hivi hivi ili kuchochea hasira sawasawa
 
Hivi hawa polisi hawana mama? hawana ndugu? Hawana dada zao? Je wao wanaishi nchi gani? Sio Watanzania? Hawaoni uhalisia uliopo mtaani?

Je ni shida ndio zinafanya wafate amri hata ambazo wanaona sio sawa? Je labda sio watanzania ni mamluki kutoka nchi jirani kwa mhutu hivyo hawana huruma na Watanzania? Mbona maswali ya kujiuliza hayaniishi kichwani?
Umevurugikiwa kwa kupukutika Viongozi kwenye Yale maeneo mliyojizatiti kama ngome zenu Arusha na Mbaya na kwingineko.Jihesabuni huenda"Train" ikakosa abiria hapo Oktoba 2020.
Usipotii sheria bila shuruti, utashurutishwa kutii sheria na hapo ndipo mnaanza kuwalaumu "Law enforcers"watunishapo misuli.Hiyo Ndiyo DOLA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunataka kujua ao mbweha waliotenda unyama uo wanaishi wapi, watoto wao wanasomea wapi? Wazazi wao wanaishi wapi na wake zao wanapatikana wap? Ndio tuanzie apo.
Uhuni huu hauvumiliki ata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo cha yote ni mkurugenzi na aliyemtuma kuharibu uchaguzi wa marudio

Yeye na familia yake wanakula bata la hatari sana ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechoshwa wewe na nani?? Mnapenda sana kuwasemea watu! Alafu hao akina bulaya na mdee hawajapigwa bali wamepapaswa tu, natamani ningekuwa askari siku hiyo ningehakikisha miguu na mikono vinakuwa chapati

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho yako ingekuwa kwatuuuu!!!!!Hii tabia ya watanzania kufurahia matatizo ya wenzao imeshamiri sana,hata kama matatizo hayo yanatokana na unyanyasaji!Tuendelee hivi ili hizi hisia siku moja zilipuke na watu wazioneshe kwa vitendo!
 
Umevurugikiwa kwa kupukutika Viongozi kwenye Yale maeneo mliyojizatiti kama ngome zenu Arusha na Mbaya na kwingineko.Jihesabuni huenda"Train" ikakosa abiria hapo Oktoba 2020.
Usipotii sheria bila shuruti, utashurutishwa kutii sheria na hapo ndipo mnaanza kuwalaumu "Law enforcers"watunishapo misuli.Hiyo Ndiyo DOLA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tumemwelewa vizuri zaidi Bashiru!Naona hatukujifunza jambo kwa matukio ya kibiti!
 
Ndugu zangu hali ya kisiasa ilivyo nchini utadhani hakuna mkuu wa nchi, nimebahatika kuzungumza na Ester Bulaya kiukweli hali yake ni mbaya sana. Analalamika maumivu makali mgongoni na kifuani, anadai alikanyagwa na kufanyiwa dhihaka na kudhalilishwa na wanaume ambao walikua na hasira kama simba mwenye njaa.

Nimejikuta nakosa neno la faraja nimebaki nalia tu.

Tumwombe Mungu tuvuke salama maana ukatili unaoonekana sasa hivi utaatarisha usalama na mshikamano wa Taifa letu.

Mungu tunusuru na gonjwa hili hatari zaidi ya Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao walitaka vipigo na wamepata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom