Ahsante mkuu.
Jaribu urudishe mapenzi ya mpira upate Radha Kama hiziAhsante mkuu.
Enzi za kina Drogba, Essien, Cech, Lampard, Ribbery, n.k nilikuwa mshabiki sana wa The Blues, kwa sasa mzuka umepoa sijuu kwa nini..
Kweli mkuu, naona napitwa mengi sana kwenye kandandaJaribu urudishe mapenzi ya mpira upate Radha Kama hizi
Ahsante mkuu.
Enzi za kina Drogba, Essien, Cech, Lampard, Ribbery, n.k nilikuwa mshabiki sana wa The Blues, kwa sasa mzuka umepoa sijuu kwa nini..
Frank Ribbery.Ribery au Robben?
Frank Ribbery.
Mimi nilikuwa namjua hivyo mkuu, alikuwa beki kama sikosei
Daahh, mafaili yalichanganyika aisee.Mmh, cheki vizuri mafaili yako juu ya Frank Ribbery......
RIBBERY YUPI AISEE??Ahsante mkuu.
Enzi za kina Drogba, Essien, Cech, Lampard,Ribbery, n.k nilikuwa mshabiki sana wa The Blues, kwa sasa mzuka umepoa sijuu kwa nini..
Daahh, mafaili yalichanganyika aisee.
Huyu Franck Henry Piere Ribery, ni Mfaransa aliyewahi kucheza Serie A akiwa Fiorentina.
Aliyewahi kuchezea Chelsea ni Arjen Robben( Mholanzi ) kati ya 2004 - 2007 kabla ya kutimkia Real Madrid na sasa yupo Bayern Munich( kama bado hajatundika ndaluga )
.RIBBERY YUPI AISEE??
Kwa sababu timu hakuna pale imebaki kuwa kama genge la vibaka waliovaa sare za bluuAhsante mkuu.
Enzi za kina Drogba, Essien, Cech, Lampard, Ribbery, n.k nilikuwa mshabiki sana wa The Blues, kwa sasa mzuka umepoa sijuu kwa nini..
Mbona anajina la Kichaga!Chelsea walimsajili Mateo kovacic kwa paund mil 57 kutoka real Madrid na tokea wamchue amekuwa Moto zaidi.Ni kiungo ninamkubali Sana ana offer vitu vingi yupo vizuri defensively, ana rate kubwa ya pass accurate, ana dribbling ability yaani ni full package
Uchezaji wake unavutia Sana as if unaangalia uchi wa mwanadada mwenye mvuto Kim Kardashian anafanya mpira unamtii ana control game ya mchezo anaifanya iwe yake. Liverpool wanamjua vizuri walipokutana kwenye game na Chelsea ya super cup haliwafanya viungo wa Liverpool waheme muda wote wa mchezo na sifa nyingine anayo huyu player ni uwezo wa kutuliza mchezo ikiwa pleasure yakushambuliwa ipo kwao.
NB: kovacic ni kiungo asieimbwa pale Chelsea utasikia wanatajwa Abraham,mount na pulisic lakini yeye ni Mara chache kusikika ktk midomo ya watu ingawa shughuli anayofanya uwanjani ni kubwa sana.