Matendo ya wanyama yenye kustaajabisha

7. WANYAMA WOTE HUFANYA TENDO LA NDOA KM A REPRODUCTIVE PROCESS (wanyama wana akili, wanajua starehe ziko nyingi, bninadam tendo hilo kn wkt si tu starehe bali ni biashara)

Naona bado hujawajua sokwe (chimpanzees, gorillas) wewe!
 

Usikurupuke,kuna aya kwenye quraan inayo tutaka sisi binaadam tuishi kwa mazingatio kama anavyo ishi mdudu nyuki kwani mdudu nyuki maisha yake yana mazingatio kwa binaadm mwenye akili.
 
Usikurupuke,kuna aya kwenye quraan inayo tutaka sisi binaadam tuishi kwa mazingatio kama anavyo ishi mdudu nyuki kwani mdudu nyuki maisha yake yana mazingatio kwa binaadm mwenye akili.
Tunaongelea in general sense. Wewe ndo unakurupuka
 

nafikiri tunatakiwa kujua vizuri zaidi masuala ya Ekolojia.

Huu mfumo wa ikolojia upo kwa mpango maalum. Mbona hujauliza maswali wajapani wanaunda meli na watanzania hamna wala tembo hawaundi ndege?

Mbona hujajiuliza pamoja na akili hizo tembo, fisi, na simba lakini hawajengi nyumba. Barabara na mashule badala yake wao usiku na mchana polini maisha yao yote.

Hiyo ni namna tu ya namna vitu vilitengenezwa na mora ndugu yangu.
Haipo siku binadamu akafanana na myama wa aina yoyote, utofauti wao upo katika UKUAJI, MIJONGEO NA HATA MAUMBILE.
Alamsiki.
 

Nitafautiane nawe kwa maeneo mengi. Fisi anauwezo wa kula mifupa kwa sababu ana meno magumu kuliko mnyama yeyote wa nchi kavu. Ana kiasi kikubwa cha tindikali ya hydrochloric inayohusika na kumeng'enya hiyo mifupa kuliko mnyama mwengine. Hapo ni u smart wa fisi au ni majaliwa ya kimaumbile? Kuhusu simba kumfukuza mnyama kwa usambamba siyo tu kupunguza umbali lakini pia kujilinda na mateke kutoka kwa windo lake. Labda la wanyama kujamiana wakati wa kuzaa hilo ndilo ambalo wanyama wametuzidi wanaadamu.
 

Uliyosema ni u smart siyo kweli bali ni badiliko ya kimaumbule ili kuendelea kuishi. Fisi ana meno magumu na tindikali ya hydrochloric ili aweze kumeng'enya mifupa anayokula. Je huo ni ujaja wake? Nafikiri uzi haujaufanyia utafiti wa kutosha au umeupa kichwa cha habari ambacho siyo sahihi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…