Mimi binafsi nimeamka salama slim5 namshukuru Mungu.
Umekusudia kutufikirisha asubuhi hii kwa kulinganisha matendo ya wanyama na yetu sisi binadamu.
Yote ulosema ni kweli ila kuna facts umezisahau, nazo ni:
Wanyama hufanya wanayofanya kwa kutumia in-built natural instinct. Kwa maneno mengine wanyama hawatumii
planned conscious thinking.
Hiyo namba tatu kuhusu panya ni misconception iliyoenea sana na ninataka nikuondoe kwenye hiyo dhana.
Pua ya panya iko juu ya midomo yake. Sasa anapotafuna kitu lazima apumue -kuvuta na kutoa hewa puani.
Kwa hiyo anapokutafuna vidole gumba hewa anayotoa akipumua inagusa kidole gumba na kukufanya ufikiri
kwamba anapuliza! Kwa nini apulize? Kwani anajua unapata maumivu?
Pia tembo hali kwa kuingiza chakula puani ila mdomoni.
Wataalamu wa wanyama hebu njooni msaidie.
Panya anapuliza mkuu, kwa nini sijui ila ndio hivyo!Mimi binafsi nimeamka salama slim5 namshukuru Mungu.
Umekusudia kutufikirisha asubuhi hii kwa kulinganisha matendo ya wanyama na yetu sisi binadamu.
Yote ulosema ni kweli ila kuna facts umezisahau, nazo ni:
Wanyama hufanya wanayofanya kwa kutumia in-built natural instinct. Kwa maneno mengine wanyama hawatumii
planned conscious thinking.
Hiyo namba tatu kuhusu panya ni misconception iliyoenea sana na ninataka nikuondoe kwenye hiyo dhana.
Pua ya panya iko juu ya midomo yake. Sasa anapotafuna kitu lazima apumue -kuvuta na kutoa hewa puani.
Kwa hiyo anapokutafuna vidole gumba hewa anayotoa akipumua inagusa kidole gumba na kukufanya ufikiri
kwamba anapuliza! Kwa nini apulize? Kwani anajua unapata maumivu?
Pia tembo hali kwa kuingiza chakula puani ila mdomoni.
Wataalamu wa wanyama hebu njooni msaidie.
slim5, pua ya tembo ni huo mkonga wake. Anautumia kama mkono, pua ya kunusa hewa ili kujuaahsante, nimeongeza kitu! unafahamu pua ya tembo ilipo?
slim5, pua ya tembo ni huo mkonga wake. Anautumia kama mkono, pua ya kunusa hewa ili kujua
adui alipo.Chakula kinachukuliwa na mkonga na kuingizwa kinywani. Kinywa kipo chini ya shina la mkongo kichwani.
Jamani huu uzi mbona umebadilishwa title? mi niliweka title ingine, uzi umekuja na title ingine!
Da Preta, bht mby hukuumbwa hivo!
Sayansi inakataa kuhusu mnyama kua na akili.