Hujaeleweka, anyway alichouliza mwenzako nishamjibu.
Ni aidha umesoma majibu bila kujua aliuliza nini?
Mwenzako alinukuu kipande kidogo, mfano ulichoandika hapo, yoote hayo ya mbele ayaache kisha "Mpende jirani yako, na kumchukia adui yako" ndio akichukue, sijui kakopi tu mtandaoni, au kaona tu sehemu. Ndio nikamuelekeza asome kuanzia mwanzo.
Maelezo yangu hapo kwenye comment uliyonikopi umeyaelewe, umeyakubali ama kukataa, tumalize hapo kisha sasa twende kwingine.