Aibu yaoAisee Wayahudi wamemmaindi kichizi huyo mama.
Nimetembelea Website ya Waisrael wanalaumu kuwa kwa nini Serikali haikumanage situation kabla huyo mama hajaongea na vyombo vya habari.
mtando huu hapa: Why did Israel allow a public diplomacy disaster?
Hata Sky news wamenukuu maneno ya huyo mama , wamendika hivi
View attachment 2791685
Hivi ndivo mtume alivyosemaNi jambo jema kumtendea wema mtu hata kama ni mateka.
Ni sahihi, wameufanya uislam wenyewe kabisa, kwa mafunzo ya mtume. Sio mijitu inafanya hovyo hovyo, inachinja watu wasio na hatia huku ikitaja jina la allah, jitu linaemda kujilipua, linaua watu hawana hatia, wanaupaka matope uislamHivi ndivo mtume alivyosema
Na HAMAS wamefanya kwa vitendoView attachment 2791701
Wanajuta kwanini walimuoji public 🤣🤣🤣. Sisi Hamas tunaendelea kupiga kimya. Mtajuana huko wenyeweAisee Wayahudi wamemmaindi kichizi huyo mama.
Nimetembelea Website ya Waisrael wanalaumu kuwa kwa nini Serikali haikumanage situation kabla huyo mama hajaongea na vyombo vya habari.
mtando huu hapa: Why did Israel allow a public diplomacy disaster?
Hata Sky news wamenukuu maneno ya huyo mama , wamendika hivi
View attachment 2791685
Inaruhusiwa kuteka kwa nia na madhumuni mazuriKumteka kikongwe kama huyo tu ni ugaidi na ndio tushuhudie wale wanaosema vikundi kama Hamas ni vikundi vya kigaidi sio waongo.
Na huyo kikongwe kwenye mahojiano alisema wakati wa kutekwa alipewa kipigo pamoja na kuporwa mkufu wake na watekaji taarifa ambayo mleta mada kwa sababu za kiimani hajaongelea kabisa.
Kama wewe kweli ni muungwana na mwenye kumuogopa Mungu kiukweli bila unafiki huwezi kabisa kufanya vitendo vya kigaidi kama kuteka watu sanasana unatakiwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto zako kwa maombi zaidi.
Waliteka na wakaua, Hamas wana watoto si chini ya 25 chini ya umri wa miaka miwili.Inaruhusiwa kuteka kwa nia na madhumuni mazuri
Hawa wanaoua watoto kwa miaka 50 sasa tuwaite nani? Waliovamia iraq bila ya sababu na kuua mamilioni ya watu tuwaite nani? Mamilioni ya watu wameuliwa na magharibi hadi babu zako huku africa bila ya sababu, waliopiga bomu la hiroshima hadi wakaharibu vizazi kwa mamilioni waitwe nani? Na huyo mzee wako aliyetekwa amewasifia hao hamas publicly hadi wazungu wanaona aibu na wamekata hii clip hata sky newsKumteka kikongwe kama huyo tu ni ugaidi na ndio tushuhudie wale wanaosema vikundi kama Hamas ni vikundi vya kigaidi sio waongo.
Na huyo kikongwe kwenye mahojiano alisema wakati wa kutekwa alipewa kipigo pamoja na kuporwa mkufu wake na watekaji taarifa ambayo mleta mada kwa sababu za kiimani hajaongelea kabisa.
Kama wewe kweli ni muungwana na mwenye kumuogopa Mungu kiukweli bila unafiki huwezi kabisa kufanya vitendo vya kigaidi kama kuteka watu sanasana unatakiwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto zako kwa maombi zaidi.
Inaruhusiwa kuteka kwa nia na madhumuni mazuri
Toa ushaidi mateka alibakwa au kuuliwa na Hamas. Mmetumia nguvu nyingi sana kukaririsha watu kuwa Hamas ni watu wa ovyo kwa stori nyingi zisizokuwa na ushaidi. Sasa angalia m/mungu jinsi anavyotisha. Mnawasafisha Hamasi wenyewe bila shurutiKwa hiyo mtume alifundisha hamas wateke, kubaka na kuua raia kwa madhumuni mazuri?!!!