bongo soft guru
Member
- Nov 17, 2015
- 97
- 23
Wakuu habari,kwa wenye simu,tablets na PC zenye matatizo sugu yaliyoshindikana,tafadhali tuwasiliane.
Matatizo yafuatayo nayapatia ufumbuzi,
1. Flashing (Kwa simu zilizo corrupt OS au simu zote zenye shida ya OS/firmwares (Android,iOS,Symbian,Blackberry OS,Windows Mobile & Windows Phone,BADA and Palm OS.
2. Network Unlocking, (Hapa tunafungua simu zilizofungwa kwa ajili ya kutumia mtandao fulani tu au nchi fulani tu).
3. Jailbreaking IDevices (Hapa ni kuondoa kuzuiwa kwako kutumia kifaa chako cha iOs kama iphone na Ipad kwa mapana zaidi)
4. Rooting Android Devices (Hapa pia ni kuondoa kuzuiwa kwako kutumia kifaa chako kwa mapana zaidi kama hapo 3 juu ila ni kwa vifaa vya Android tu).
5. Google Password Removing (Hapa ninafungua simu au tablet yenye password kwa vifaa vya android,blackberry,iOS,Bada,Palm OS.Hapa Sifungui Icloud kwa Idevice bali nafungua passcode na password).
6. PC Softwares
7. Android Stock ROMs,Custom ROMs,
8. Smartphone Apps,Tablets Apps & PC Apps.
9, Ushauri na Mafunzo kwa wanaohitaji kufungua biashara za kutengeneza simu (software tu),Boxes na Softwares za kutengenezea simu)
10. Modem unlocking
Wote Mnakaribishwa