Matatizo ya software kwenye simu, tablets na PC

Joined
Nov 17, 2015
Posts
97
Reaction score
23
Wakuu habari,kwa wenye simu,tablets na PC zenye matatizo sugu yaliyoshindikana,tafadhali tuwasiliane.
Matatizo yafuatayo nayapatia ufumbuzi,
1. Flashing (Kwa simu zilizo corrupt OS au simu zote zenye shida ya OS/firmwares (Android,iOS,Symbian,Blackberry OS,Windows Mobile & Windows Phone,BADA and Palm OS.
2. Network Unlocking, (Hapa tunafungua simu zilizofungwa kwa ajili ya kutumia mtandao fulani tu au nchi fulani tu).
3. Jailbreaking IDevices (Hapa ni kuondoa kuzuiwa kwako kutumia kifaa chako cha iOs kama iphone na Ipad kwa mapana zaidi)
4. Rooting Android Devices (Hapa pia ni kuondoa kuzuiwa kwako kutumia kifaa chako kwa mapana zaidi kama hapo 3 juu ila ni kwa vifaa vya Android tu).
5. Google Password Removing (Hapa ninafungua simu au tablet yenye password kwa vifaa vya android,blackberry,iOS,Bada,Palm OS.Hapa Sifungui Icloud kwa Idevice bali nafungua passcode na password).
6. PC Softwares
7. Android Stock ROMs,Custom ROMs,
8. Smartphone Apps,Tablets Apps & PC Apps.
9, Ushauri na Mafunzo kwa wanaohitaji kufungua biashara za kutengeneza simu (software tu),Boxes na Softwares za kutengenezea simu)
10. Modem unlocking

Wote Mnakaribishwa
 
Mkuu mi nataka unichukue niwe kama mwanafunzi wako na nkusaidie kazi ndogo ndogo for free... Shida yangu ni kujifunza tu
 
Wakuu habari,kwa wenye simu,tablets na PC zenye matatizo sugu yaliyoshindikana,tafadhali tuwasiliane.
Matatizo yafuatayo nayapatia ufumbuzi,
1. Flashing (Kwa simu zilizo corrupt OS au simu zote zenye shida ya OS/firmwares (Android,iOS,Symbian,Blackberry OS,Windows Mobile & Windows Phone,BADA and Palm OS.
2. Network Unlocking, (Hapa tunafungua simu zilizofungwa kwa ajili ya kutumia mtandao fulani tu au nchi fulani tu).
3. Jailbreaking IDevices (Hapa ni kuondoa kuzuiwa kwako kutumia kifaa chako cha iOs kama iphone na Ipad kwa mapana zaidi)
4. Rooting Android Devices (Hapa pia ni kuondoa kuzuiwa kwako kutumia kifaa chako kwa mapana zaidi kama hapo 3 juu ila ni kwa vifaa vya Android tu).
5. Google Password Removing (Hapa ninafungua simu au tablet yenye password kwa vifaa vya android,blackberry,iOS,Bada,Palm OS.Hapa Sifungui Icloud kwa Idevice bali nafungua passcode na password).
6. PC Softwares
7. Android Stock ROMs,Custom ROMs,
8. Smartphone Apps,Tablets Apps & PC Apps.
9, Ushauri na Mafunzo kwa wanaohitaji kufungua biashara za kutengeneza simu (software tu),Boxes na Softwares za kutengenezea simu)
10. Modem unlocking

Wote Mnakaribishwa

Weka Namba za simu.
 
Safi sana aisee, Na mimi huwa na interest sana na ivi vitu, nitafurahi sana kuwa mwanafunzi wako.
 
Mkuu kuhusu namba 9 hasa hizo boxes? Unawezaje kunisaidia

Mkuu hizi boxes kwa sasa nimemaliza.Ila ninaweza kukupa ushauri wa box gani ya kununua na jinsi ya kuzitumia.Pia nadhani kuna maduka yanauza hizo boxes hapa Dar,ila kama ungezipata China na Dubai ni rahisi zaidi
 
Mkuu habari,nitashukuru sana kama nitaweza kupata Box ya Universal.
Je unayo?
 
Wakuu habari,kwa wenye simu,tablets na PC zenye matatizo sugu yaliyoshindikana,tafadhali tuwasiliane.
Matatizo yafuatayo nayapatia ufumbuzi,
1. Flashing (Kwa simu zilizo corrupt OS au simu zote zenye shida ya OS/firmwares (Android,iOS,Symbian,Blackberry OS,Windows Mobile & Windows Phone,BADA and Palm OS.
2. Network Unlocking, (Hapa tunafungua simu zilizofungwa kwa ajili ya kutumia mtandao fulani tu au nchi fulani tu).
3. Jailbreaking IDevices (Hapa ni kuondoa kuzuiwa kwako kutumia kifaa chako cha iOs kama iphone na Ipad kwa mapana zaidi)
4. Rooting Android Devices (Hapa pia ni kuondoa kuzuiwa kwako kutumia kifaa chako kwa mapana zaidi kama hapo 3 juu ila ni kwa vifaa vya Android tu).
5. Google Password Removing (Hapa ninafungua simu au tablet yenye password kwa vifaa vya android,blackberry,iOS,Bada,Palm OS.Hapa Sifungui Icloud kwa Idevice bali nafungua passcode na password).
6. PC Softwares
7. Android Stock ROMs,Custom ROMs,
8. Smartphone Apps,Tablets Apps & PC Apps.
9, Ushauri na Mafunzo kwa wanaohitaji kufungua biashara za kutengeneza simu (software tu),Boxes na Softwares za kutengenezea simu)
10. Modem unlocking

Wote Mnakaribishwa

Mkuu,my One Plus One smartphone inajirestart kila baada ya muda,unaweza kuirekebisha?
 
upo pande zipi
 
Habari boss halo naomba ushauri nimesahau passcode ya iPad yangu
 
Hellow kwa wale wote wenye iPhone zenye lock ...ICLOUD....Motherbody(mashine) pia naagiza kwa bei nafuu kama simu yako ina lock unaweza ukaitoka kwa urahis kwa kubadili motherbody(mashine) au kama pia motherbody yako imekufa maybe imepiga shot n.k .
Tsh .
iPhone 4 motherboard.
16Gb =50,000.
.
iPhone 4s motherboard
8Gb = 60,000.
16Gb = 70,000.
32Gb= 80,000.
.
iPhone 5s (no fingerprint)
16Gb =100,000.
32Gb = 120,000.
64Gb = 160,000.
....With Fingerprint
16Gb = 130,000.
32Gb = 150,000.
64Gb = 200,000.
.
iPhone 6 ( No finger print )
16gb = 160,000.
64gb = 180,000.
64Gb = 200,000.
........with finger print
16gb = 150,000.
32Gb= 220,000.
64Gb= 270,000.
.
iPhone 6 plus (no finger print)
16gb = 200,000.
64gb = 220,000.
......with finger print)
16gb = 250,000.
64gb = 280,000.
.
iPhone 7 (no fingerprint)
32gb =220,000.
128gb =250,000.
.....With finger print
32gb= 300,000.
128gb = 460,000.
.
iPhone 7 plus (no fingerprint )
32Gb = 230,000.
128Gb = 280,000.
.
..........UKITAKA MOTHERBOARD UNAWEKA ORDER ALAF NAAGIZA BAADA YA WEEK 2 UNAPATA MOTHERBOARD.......
.
WhatsApp
.
Instagram
.
Call
#0784757203
.
Text message
0784757203
.
LOCATION
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania. .
Joseph Robert
 
Back
Top Bottom