Matatizo ya pc ninapokuwa connected na internet...

Joined
Dec 25, 2013
Posts
59
Reaction score
2
Habari zenu wakuu..Nina shida tatu ambazo kila nikiingia net lazima Pc yangu iniletee hizi mambo ingawa sizipendi hata kidogo hivyo naomba mwenye sokution anisaidie..Tafadhali,tumia lugha nyepesi maana mimi nina ufahamu mdogo sana wa kutumia Computer..

TATIZO LA KWANZA
Kila nikiingia net nikikaa dakika kadhaa tu kuna link mbili zinajifungua hata bila ya mimi kuziomba.Link hizo ni..
http://www.stamplive.com/apu.php?n=&zoneid=8618&cb=1714927984&popunder=1&direct=1

TATIZO LA PILI]VideoDownloadConverter, the must-have toolbar for video fanaticsNiki-click kitu basi faster new tab inafunguka nayo ni hii hapa..

[/URL]
http://epicscanpronice.in/passthrou...HZVkMZVee0uWxP4tNqOoelEAeqHg7xKCztLBMVThi4PBY


TATIZO LA TATU
Hakuna siku niliyoingia net ambapo kitu kinaitwa FC MONITOR UPDATE kisitokee..Mwanzoni nilikuwa naruhusu iwe updated na inakula 8mb's nikidhani kuwa ikimaliza ku-update asi haitataka tena lakini nimeona ndo mchezo wenyewe dailiy..

Kweli ndugu zangu mnisaidie nawezaje kuyaepuka majanga haya..Ninatumia Mozilla Firefox Version 37.0..
 
Naona tatizo la pili halipo.

Yawezekana ulibofya link ukiwa unavinjari internet ika install hio program.

Jaribu kuitoa (uninstall) hio program .
Bofya start->chagua control panel-> program-> uninstall program
Ukiwa hapo chagua hio progrma kwa jina then uninstall.
 



TATIZO LA PILI]
Niki-click kitu basi faster new tab inafunguka nayo ni hii hapa..

VideoDownloadConverter, the must-have toolbar for video fanatics

Hiyo njia mkuu ya ku-uninstal the program nishafanya two days ago ila naona kila kiyu kipo vilevile..
 
kaka itoe kabisa mozila na kila kitu chake halafu ieke upya.

ukishaiweka andika google "adblocker firefox" then eka adblock kwenye browser yako itakusaidia kukulinda na matangazo ya kipuuzi

hapo hapo juu wanaonekana kama ni malware na inawezekana either
1.wapo kwenye mozilla yenyewe
2.wapo kwenye pc na kuiathiri mozilla.

ukitoa na kuirudisha mozilla kama walikuwa kwenye mozilla watatoka, ila kama wapo kwenye pc hawatatoka, hivyo ukiona hawajatoka fanya hivi.

-nenda control panel then kwenye all programs (sehemu ya ku-uninstall) futa program zote za toolbar kama ask, ilivid, na nyenginezo na program usizozielewa.
-fanya full scan ya malware kwenye pc na ant virus au program yoyote
 

Nimekupata mkuu,ngoja nifanyie kazi..
 


Ninachoweza kusema ni asante mkuu maana naona sa izi kila kitu kipo shwari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…