Asante sana ndg yangu na sasa naendelea na maombez Mungu ataniponya kwa wakat alopanga naaminPole sana nenda ukaombewe Sasa kama umeshaonana mpaka na ma specialist.
Asante ndg
Dada ,Umezaa ??na Unaumri gani ??.Za jion wna jf, mimi ninasumbuliwa na maumivu ya nyonga kwa muda sasa tangu 2011, nimeenda hospital mara nyingi,
M
Nimepima vpmo tofauti ktk hosptl tofaut na nimekuwa nikipata majibu tofaut tofauti, na dawa mbalimbali ambazo zmekuwa zkinipa nafuu ya muda tu na bdae tatizo kurd,
Nimepiga x-ray ya nyoga na mgongo ya nyonga nikaambiwa hakuna tatxo, mgong nkaambiwa uti wa mgongo umekaza, nikapewa dawa na maxoez clinc nikawa vzr lakin baada ya muda tatizo limerudi,
Mara nyingi maumiv haya naypat kipnd cha ovulation muda mwingin maumiv huendelea mpk mp na hata baada ya. Na mara nyingine naumwa mfululizo hata miez 2, nimeonana na specialist wa wanawake, akanifanyia vpimo nikaambiwa ni hormonal imbalance nikapewa dawa multivitamins (one daily woman) na duphustone nilitumia takrban doz tatu mfululizo nikapata nafuu ambay niliona nmepona lakin baada ya miez miwili tu shida ilirud
Mwenzenu nimechoka, nabeni msaada wenu hasa ushauri nifanyeje?
Tuwasiliane Dada, poleZa jion wna jf, mimi ninasumbuliwa na maumivu ya nyonga kwa muda sasa tangu 2011, nimeenda hospital mara nyingi,
M
Nimepima vpmo tofauti ktk hosptl tofaut na nimekuwa nikipata majibu tofaut tofauti, na dawa mbalimbali ambazo zmekuwa zkinipa nafuu ya muda tu na bdae tatizo kurd,
Nimepiga x-ray ya nyoga na mgongo ya nyonga nikaambiwa hakuna tatxo, mgong nkaambiwa uti wa mgongo umekaza, nikapewa dawa na maxoez clinc nikawa vzr lakin baada ya muda tatizo limerudi,
Mara nyingi maumiv haya naypat kipnd cha ovulation muda mwingin maumiv huendelea mpk mp na hata baada ya. Na mara nyingine naumwa mfululizo hata miez 2, nimeonana na specialist wa wanawake, akanifanyia vpimo nikaambiwa ni hormonal imbalance nikapewa dawa multivitamins (one daily woman) na duphustone nilitumia takrban doz tatu mfululizo nikapata nafuu ambay niliona nmepona lakin baada ya miez miwili tu shida ilirud
Mwenzenu nimechoka, nabeni msaada wenu hasa ushauri nifanyeje?
Asante sana ndg yangu nitaufanyia kaz ushauri wakoDada ,Umezaa ??na Unaumri gani ??.
Kikawaida hii mittelschmerz hudumu ndan ya masaa 24 tuuu sasa hii yako ya kwenda mpaka miezi miwili kidogo utakua na tatizo.
Maumivu yanyonga Mara husababishwa na sababu nying mnooo moja wapo niiyo ya Ovulation .
Lkn nje yahapo zipo sababu nying sanaaa.
Km hujazaa ,,au upo umri wakuanzia 30 , au km unatumia birth control bila shaka huyo hali huwezi kukwepana hayo.
Embu jaribu ...kumeza aspirin ,,wakati wamaumivu koga maji yamoto ,,au kanda izo ngonga kwamaji ya moto,, uwe unajifanyia masaji kwamafuta ya Cinnamon ,kula ndizi asubuh na mboga zamajan usiku ,,,Fanya mazoezi wakati unapokaribia ovulation ,, uwe unalalia tumbo wakati wa maumivu .
Ikishindikana ,,nenda hospital kubwa kucheki TENA .....ikishindikana Zaaa ,,, ikishindikana Mwachie Mungu.

Pamoja mkuu .Asante sana ndg yangu nitaufanyia kaz ushauri wako
Ila samahan hayo mafuta ya cnamonn in yap cyajui nifahamDada ,Umezaa ??na Unaumri gani ??.
Kikawaida hii mittelschmerz hudumu ndan ya masaa 24 tuuu sasa hii yako ya kwenda mpaka miezi miwili kidogo utakua na tatizo.
Maumivu yanyonga Mara husababishwa na sababu nying mnooo moja wapo niiyo ya Ovulation .
Lkn nje yahapo zipo sababu nying sanaaa.
Km hujazaa ,,au upo umri wakuanzia 30 , au km unatumia birth control bila shaka huyo hali huwezi kukwepana hayo.
Embu jaribu ...kumeza aspirin ,,wakati wamaumivu koga maji yamoto ,,au kanda izo ngonga kwamaji ya moto,, uwe unajifanyia masaji kwamafuta ya Cinnamon ,kula ndizi asubuh na mboga zamajan usiku ,,,Fanya mazoezi wakati unapokaribia ovulation ,, uwe unalalia tumbo wakati wa maumivu .
Ikishindikana ,,nenda hospital kubwa kucheki TENA .....ikishindikana Zaaa ,,, ikishindikana Mwachie Mungu.
Ooohhh cinnamon ni mdalasini yaan nilimaanisha mafuta ya mdalasiniIla samahan hayo mafuta ya cnamonn in yap cyajui nifaham
OK hayo mafuta yanapatkana maduka yap?Ooohhh cinnamon ni mdalasini yaan nilimaanisha mafuta ya mdalasini