Matatizo ya kiuchumi: Bar zakauka

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,671
149,852
Hii ni habari katika gazeti la The Guardian la siku ya leo tarehe 25/02/2017 ambayo inasema matatizo ya kiuchumi yamepelekea bar kupungukiwa na wateja na mauzo ya makampuni ya bia kushuka.

Habari kamili soma hapa chini:

======

Tough economic times hit beer drinkers, leaving pubs empty

A weeklong survey by The Guardian has revealed that an ongoing cash crunch in the economy has forced drinkers in Dar es Salaam and other parts of the country to sharply cut down on drinking.

The country's two beer manufacturers - Tanzania Breweries Limited (TBL) and Serengeti Breweries Limited (SBL) - have been hit hard by a slump in beer consumption, with both companies reporting declines in beer sales and revenues in their latest financial results.

SBL, the number 2 beer maker in Tanzania with a 20 per cent market share, saw its net sales falling by 7 per cent in the six months to 31 December last year, dragged down by sluggish consumer demand.

Andrew Cowan, the chief executive officer of East African Breweries Ltd, which is SBL's parent company, said last month that although Tanzania's gross domestic product (GDP) has been growing at a rapid rate of around 7 per cent per annum over the past three years, a slump in consumer spending hit beer demand in 2016.

"The trick is to get that GDP growth through to consumer spending and it just isn't happening at the moment," he said.

Cowan said there were however good prospects for beer sales in Tanzania over the next three to five years, helped by the country's sturdy economic growth rates.

TBL, which has a market share of over 70 per cent in Tanzania's beer industry, similarly reported a decline in beer demand.

Its revenues also declined by 7 per cent in the six months ending 30 September 2016 due to "challenging market and economic conditions" in Tanzania.

"Consumer confidence has been subdued and together with the impact of stricter enforcement of trading hours, our overall volumes were down by 8 per cent for the half year compared to the same prior year period," TBL managing director Roberto Jarrin said in the company's financial results statement.

The money squeeze has caused more and more beer drinkers to slowly shift away from the golden liquid to hard liquor drinks and traditional alcoholic beverages, resulting in TBL noting an increase in sales for its Chibuku sorghum brew.

"We have also seen a consumer shift towards more affordable products, resulting in increased pressure on our margins," Jarrin said.

The financial results show that TBL's gross profit fell by 12 per cent while its operating profit declined by 13 per cent in the six months to September 30 last year.

Where are the customers?
Mwabuke Mwaigomole (28), who works at Recreation Pub in Dar es Salaam's Buguruni suburb, has been left wondering what had befallen her many clients who previously would spend hours binge-drinking at her small bar until the late hours.

“Business was vibrant but it suddenly changed just a few months ago. Today things are totally different ... Life is tougher than ever before, we (bar maids) are eight of us working here. Personally, I used to sell drinks worth 180,000/- a day alone. But for the last six months the number of boozers who come here continues to decline day by day,” Mwabuke explained during a cross-sectional survey.

She added: “Today I sell drinks worth hardly 30,000/- a day. You know, we are paid according to the number of bottles sold. Now you can imagine the little earnings that I get these days, which is not enough to provide for my family and make ends meet,” she lamented.

All the eight bar maids are now forced to scramble for the few customers who walk in, each striving to offer good services to attract drinkers in the hopes of making good sales.

Equally dejected pub manager James Urio said boozers were hardly seen at the establishment nowadays.

"Our permanent clients have disappeared. Whether they have shifted to other drinking places, I don’t really know the answer to that, but business is down ... there is no future,” Urio noted, adding:

"There is every likelihood that the owner will close down this business over the coming months because it becomes so difficult to foot bills such as rent and pay tax as demanded by the revenue authorities. Life has changed ... people’s purchasing power has been eroded severely.”

Hamisa Mbago, a 26-year-old bar maid at the city-based London Loaf Pub in Temeke district, said: “It is all pain here. Six months ago I could sell up to three crates of beer a day alone, apart from other drinks. Today I sell one or two crates on public holidays.”

Gibbons Terry, a bar manager at the bar, said he feared the sharp decline in sales of alcohol could impact their business.

An on-the-spot check by The Guardian at the pub at a time considered traditionally as ‘busy hours’ between 5-9pm revealed that many tables largely remained empty.

“The situation shows no sign of improving anytime soon. Dozens of drinkers usually gathered here, each taking their own favourite brand of beer, but that was in the past. Our sales volumes have declined by more than 70 per cent. I don’t really know what will become of this,” said Terry.

Tough economy

Analysts say beer consumption acts as a barometer for the health of the economy, with one job in the beer brewing sector supporting up to 17 jobs in supply, agriculture and retail such as bars, pubs, cafés and restaurants.

An economist from Mzumbe University, Prof Honest Ngowi, told The Guardian that there are many possible contributing factors to the ongoing decline in beer demand, which include the government’s ban on drinking alcohol before 4pm on weekdays.

“You will recall that the government banned drinking before 16:00 hours. This automatically reduces sales hours, sales volumes, sales revenues and profit. So, partly reduced times of sale explain reduced quantity demanded,” he said

He also listed the ongoing tough economic situation as another reason for a decline in beer demand due to liquidity problems facing the general population, which in turn reduces their purchasing power and therefore the quantity of beer demanded.

“There are beer substitutes that are cheaper.... when things get tough economically some beer consumers - mainly in the lower income group - will switch to cheaper substitutes including local brew and spirits including illicit ones, unfortunately," said Prof Ngowi.

"Cheaper beers, such as Balimi and Safari Lager 330 mililitres, sold for Sh1,500, are gaining popularity. This is a sign of a decline in the purchasing power of Tanzanians.”

Prof Ngowi warned that the decline in beer demand and revenues will have negative multiplier effect on the whole economy in terms of forward and backward linkages.

“The decline in beer demand will most likely affect all other related sectors, value chains and their nodes. It may even affect employment, incomes, consumption, sales, revenues and profits in related sectors ... may therefore negatively affect tax revenues as well,” he added.

Another economist, Prof EstomihiMwaseba, called for a sustainable solution to address the situation.

“The obvious decline in people’s purchasing power is a true reflection of restrained lavish spending that came from myriad sources of, perhaps, illegal income. People must learn how to work hard for justifiable income,” Mwaseba remarked.

He said there was no doubt that many individuals in Tanzania previously gained large sums of money unlawfully and now did not have that easy money to spend on alcohol and other things.

“Any cut off of the illegal money conduit will quickly be reflected on the expenditure as seen at drinking places. People had money in their pockets but were in fact not rich," Mwaseba said.

Mwaseba said the ongoing financial discipline instituted by President John Magufuli's government had a huge impact on people’s spending patterns.

"Close administration of revenue that has been in place since November 2015 when the new government came in continues to yield positive impact on monthly revenue collection," he observed.

Source: Guardian
 
Hiyo inanitia hofu sana kwani kampuni ya bia imekuwa chanzo cha mapato makubwa ya serikali kwa muda mrefu hivyo kampuni ikiyumba tafsiri yake na mapato yatayumba,muda ndio mwalimu wetu kwa sasa
 
Na uzinzi holela nao utapungua. Kona bar imepwaya sana wenyewe wanakufuata na bei wanashusha. Hatari namba za kirumi tunazosoma
 
Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuendekeza ulevi,ikibidi wazifunge tu wafanye biashara nyingine.ilifika wakati jumatatu asubuhi unakuta watu bar wamepanga heineken kibao,kwa pesa za wizi serikalini,kama zilikuwa halali mbona siku hizi hakuna?,uchumi haujayumba vinginevyo msingekuwa na bando za kila siku kushinda humu mnafanya propaganda.Dubai kununua bia unahitaji kuwa na leseni na ukionekana na kilevi kwenye public msala wake utahadithia,na hawana kiwanda cha bia wala pombe yoyote wana import tu ila wapo wapi kimaendeleo?,.,Ngoja na viloba vifungiwe ndo watanzania wapate akili waache kuishi kimazoea,mambo yamebadilika.JPM aendelee kubana zaidi watu akili zitakuja tu.
 
Kama vyanzo vya kodi ya serikali ndio hivi vinayumba tusubiri hali mbaya zaidi maana sasa wananchi ndio tutaichangia serikali kwa hizi fine za barabarani na kodi za kiholela
 
Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuendekeza ulevi,ikibidi wazifunge tu wafanye biashara nyingine.ilifika wakati jumatatu asubuhi unakuta watu bar wamepanga heineken kibao,kwa pesa za wizi serikalini,kama zilikuwa halali mbona siku hizi hakuna?,uchumi haujayumba vinginevyo msingekuwa na bando za kila siku kushinda humu mnafanya propaganda.Dubai kununua bia unahitaji kuwa na leseni na ukionekana na kilevi kwenye public msala wake utahadithia,na hawana kiwanda cha bia wala pombe yoyote wana import tu ila wapo wapi kimaendeleo?,.,Ngoja na viloba vifungiwe ndo watanzania wapate akili waache kuishi kimazoea,mambo yamebadilika.JPM aendelee kubana zaidi watu akili zitakuja tu.
Yani hizi pumba sijui za ngano? Unafananisha tanzania na dubai? tunazungumzia nchi mbili zenye vyanzo tofauti kabisa vya mapato ya serikali. Tunazungumzia kodi hapa sio ulevi tabia ya mtu atajua mwenyewe.
 
Mkuu na huko Dubai serikali yao inategemea kodi za vinywaji na sigara kuleta maendeleo kama hii ya kwetu?

,uchumi haujayumba vinginevyo msingekuwa na bando za kila siku kushinda humu mnafanya propaganda.Dubai kununua bia unahitaji kuwa na leseni na ukionekana na kilevi kwenye public msala wake utahadithia,na hawana kiwanda cha bia wala pombe yoyote kimaendeleo?,.,Ngoja na viloba vifungiwe ndo watanzania wapate akili waache kuishi kimazoea,mambo yamebadilika.JPM aendelee kubana zaidi watu akili zitakuja tu.
 
Mkuu tatizo kubwa ni mazoea,.,mzunguko wa vinywaji uliokuwepo ulikuwa fake,unajua TBL walikuwa wanakwepa kodi kiasi gani pamoja na mauzo yao kipindi cha JK kuwa juu??,ni hivi,watu walikuwa wapiga dili serikalini na wanunuzi wazuri wa bia na pombe in general,so unywaji uliokuwepo ulikuwa fake,unywaji wa sasa hivi ndo halisi mwenye uwezo wa heineken anywe,mwenye uwezo wa safari anywe,na kiloba hivyo hivyo,ilifika wakati mtu anafika bar anazungusha round bar nzima hata asiowajua,hio ni sawa?,huwezi pata pesa kwa jasho ukafika bar ukanunulia watu huwajui,zilikuwa ni pesa za wizi,tulikuwa tunaelekea wapi?,mwaka jana watu wamepiga kelele uchumi uchumi mbona maisha yanaendelea kama kawaida?,.,wiki chache zilizopita watu wamekuja na single ya njaa njaa,mpaka wengine wakaleta picha za nyati mmoja mgonjwa hapa JF eti ukame,mbona mpaka sasa hakuna aliyekufa na njaa TZ?,tatizo watu tulizoea free free,mambo yanapobadilika watu wanahaha,wabongo na watu weusi kwa ujumla hawataki kufanya kazi,wanapenda ujanja ujanja tu.Hiyo TBL ndo alikuwa mkwepaji mkubwa wa kodi,sema waliyamaliza kimya kimya na JPM.
 
Yani hizi pumba sijui za ngano? Unafananisha tanzania na dubai? tunazungumzia nchi mbili zenye vyanzo tofauti kabisa vya mapato ya serikali. Tunazungumzia kodi hapa sio ulevi tabia ya mtu atajua mwenyewe.
Jaribu kuelewa logic yangu,kwahiyo viwanda vya bia na sigara vyote vikifungwa Tanzania hakuna maisha?,,jibu ni kwamba maisha yatasonga tu,hatukuwa na hivi viwanda na tuliishi,mfano wafanyakazi wengi wa serikali walizoea vikao na safari za ndani na nje ili kuishi na kutanua,kaja JPM kawabana mbona wanaendelea kuishi na kufanya kazi serikalini?,tatizo kubwa hivi viwanda vya pombe vilikuwa vinapata pesa nyingi ambazo sio za uhalisia wa mapato yao,zilitegemea loop holes za serikalini kuingiza mapato makubwa,hii ingeendelea mpaka lini?,.,Ok,mmepiga kelele sana mwaka jana za uchumi uchumi,mbona mpaka leo upo humu JF na bando la kutosha ukiwa umeshiba kabisa pengine na moja baridi pembeni????.,mkuu hizi ni siasa tu ndo maana huwa nakumbuka usemi wa JPM,wa "Nimeamua nchi isonge na itasonga tu",. Ni ubabe tu maana hakuna namna,ambaye hataki ahame nchi kwa muda.
 
Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuendekeza ulevi,ikibidi wazifunge tu wafanye biashara nyingine
Tz kuna ulevi gani hasaa? Hebu weka athari za ulevi kwa Tanzania kiasi kwamba nchi ishindwe kuendelea.

Kumbuka tu, sie wa vijijini, bia tunakunywa kwa msimu, na hii, haimaanishi kuwa hatunywi pombe kila baada ya shughuli zetu za mashambani, tuna pombe zetu za kienyeji.

Pamoja na kunywa huko naona kijiji chetu kikiendelea pasi shaka.
 
Jamaa anajua anawakomoa wanywaji na watanzania.......hajui kwamba kampuni za bia zisipouza,TRA makusanyo yananyauka.


Anakata tawi alilokalia
 
Yani hizi pumba sijui za ngano? Unafananisha tanzania na dubai? tunazungumzia nchi mbili zenye vyanzo tofauti kabisa vyamapato ya serikali. Tunazungumzia k

Hizi ulizo andika ndio pumba, kwa nchi yenye rasilimali nyingi za asili kwa nini vyanzo vya mapato viwe kwenye bia?
 
Hizi ulizo andika ndio pumba, kwa nchi yenye rasilimali nyingi za asili kwa nini vyanzo vya mapato viwe kwenye bia?
Ndio ujiulize hicho chama chako kwa miaka 56 kimezifanyia nini hizo rasilimali. Mbona sio rocket science kwamba hii Tanzania itaendelea ccm ikitolewa madarakani. Hakuna kitakachoendelea na CCM they are a curse.
 
Kuathiri vyanzo vya mapato ya serikali ikiwa hujaweka mbadala sawia wa vyanzo unavyoviathiri hapo kuna walakini,tanzania vyanzo vya mapato viko vingi ikiwa tu vitasimamiwa vizuri na itasaidia kupunguza kasheshe za kodi iliyo juu maana vyanzo vinajitosheleza.
Tatizo linakuja kwamba viongozi wetu wanakosa ubunifu wa vyanzo vipya na ndo matokeo yake ni msululu wa kodi kiasi kwamba zinaathiri mfumo wa biashara.Serikali ya awamu ya tano huenda ikawa na lengo jema sema mechanism inayotumika ndo inaonekana kutokuwa njema,mfano unapofanya maamuzi ambayo yanaathiri shughuli na vipato vya watu 1000 mfano ambao labda walikuwa wanapata hata mshahara wa 200,000/= kwa mwezi hawa jumla ya pesa wanayoingiza kwenye mzunguko wa fedha ni 200,000,000/= hizi ni fedha nyingi sana lakini ikiwa utaathiri sekta hizo automatically huo mzunguko unakuwa umeupunguza na lazima tu maisha yawe magumu.
Sipingi serikali inachokifanya ila nadhan ingetafutwa namna njema ya kuyafanya hayo ili kupunguza ugumu na ukali wa maisha kwa wananchi wa kawaida maana sina imani kama kuna serikali yoyote ile duniani inayokuwa na lengo la kuumiza raia wake.
 
Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuendekeza ulevi,ikibidi wazifunge tu wafanye biashara nyingine.ilifika wakati jumatatu asubuhi unakuta watu bar wamepanga heineken kibao,kwa pesa za wizi serikalini,kama zilikuwa halali mbona siku hizi hakuna?,uchumi haujayumba vinginevyo msingekuwa na bando za kila siku kushinda humu mnafanya propaganda.Dubai kununua bia unahitaji kuwa na leseni na ukionekana na kilevi kwenye public msala wake utahadithia,na hawana kiwanda cha bia wala pombe yoyote wana import tu ila wapo wapi kimaendeleo?,.,Ngoja na viloba vifungiwe ndo watanzania wapate akili waache kuishi kimazoea,mambo yamebadilika.JPM aendelee kubana zaidi watu akili zitakuja tu.
je uingereza maendeleo yao vp?
 
Back
Top Bottom