Matatizo yapi sasa!Hivi haya matatizo ya clabu ya SIMBA yanatokana na na kipi hasaa
Matatizo yapi sasa!
achana na huyu mropokaji wa yanga..
Ndetichi SIMBA Aliyevaa ngozi ya AZAMachana na huyu mropokaji wa yanga..
yanatokana na huyo msomali kazi yake uongo na kupiga majungu wachilia mbali hisoria yake ya wizi lakini wa kulaumiwa ni wale waliomchagua kwani tabia yake inajulikana na hawezi kubadilika kwani alianza kuiba toka yuko CDA ikapelekewa kufukuzwa wakati wa serikali ya awamu ya kwanza