kikiey
New Member
- Sep 30, 2014
- 4
- 0
Nna huawei y-530 nimeweka 8gb card lakin cha ajabu nkiingiza vtu ikafika ujazo wa 20mb havisomi kama ni picha ukiingza inaandka "cant load this file" nkiweka nyimbo inaandka "this file doesnt exist in your media" nkabadili na kueka 4gb matatzo ni yaleyale nkabadlisha tena na kueka 2gb lakin stil bado shida ni ile ile...sielewi nifanye nini na hii simu...msaada plZ!!!