Matatizo baada ya kubadili Windows, msaada please

Son.j

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
1,030
Reaction score
2,447
Nlikuwa natumia window 7 nikabadili kwenda window 8. sasa niki install games zina kata kufunguka au zina stalk. je tatizo n nini? kama ni drivers ni drivers gani na nitazipataje? natanguliza shukrani.
 
Mimi nilikua natumia window 8,but nimeweka window 7 sipati Internet kwa kutumia wireless.
Ebu wajuvi tupeni msaada.
 
Ingia website ya kampuni ya kompyuta yako...peruzi upate sehemu ya drivers (mara nyingi support then download) tafuta driver ya win 7 kwa kuchapa maneno au kuchagua kutoka kwenye orodha kama itakuwepo....kama hutaweza weka aina ya kompyuta/laptop wadau watakupa msaada
 
Nlikuwa natumia window 7 nikabadili kwenda window 8. sasa niki install games zina kata kufunguka au zina stalk. je tatizo n nini? kama ni drivers ni drivers gani na nitazipataje? natanguliza shukrani.

ili ucheze games bila bugudha hakikisha una

-direct x zote kadri ya pc yako inavyosuport
-.net framework 4.5 na 3
-c++ distributable zote

vyote hivyo vinapatikana website ya microsoft na windows update. pia game linaweza kuja navyo angalia kwenye folder la setup unaweza vikuta

kuhusu game kustack na kuwa slow inabidi utafute pc yenye nguvu ili uweze kucheza games smooth
 
Mimi nilikua natumia window 8,but nimeweka window 7 sipati Internet kwa kutumia wireless.
Ebu wajuvi tupeni msaada.

si busara kudowngrade windows kama ni mtu alikushauri au ulifanya mwenyewe ni jambo baya. unapodowngrade windows inamaana hutapata drivers sababu watengeneza laptop hawana time kutengeneza drivers za windows za zamani.

cha muhimu hapo nenda device manager halafu andika jina la hio adapter ya wifi hapa. kwenda device manager just bonyeza start kwenye sehemu ya kusearch andika device manager then ikifunguka utaona hardware zotre za pc yako wamezilist utaona kitu kimeandikwa atheros au broadcom wireless au kitu chochote kinachofanania na device ya wireless then tutaangalia kama zipo driver zake kwa windows 7
 
Ngoja nifanye mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…