Ndugu,
Kuwa makini na watu hawa wanjifanya ni ma supervisor Uchumi Quick mmoja anajiita Anna 0714070332 .na mwingine Alex 0659603292.
Kuwa makini na hizo namba.
Ni majaribu makubwa poti, mtu umekaa miaka kadhaa mtaani bilatumaini, ni rahisi sana mtu kukutapeli kwani anacheza na akili yako ambayo inakuwa inafikiria zaidi ajira kuliko chochote. Ni kama waganga na wachungaji wanavyocheza na akili za wenye shida.... Tuzidi kuelimishana kama hivi.
Wametengeneza tangazo la nafasi za kazi ya uhasibu na umeneja halafu jinsi ya ku apply wameweka namba ya simu ili uwapigie, ukiwapigia watakutaka kiasi fulani cha fedha. Unaweza ukawatrack ili ujue wanaibajeibaje.
Hata huyu 0655518547, na 0785169699 anasema ni polisi makao makuu, ukimpigia ukasema unataka akusaidie kupata ajira, iwe takukuru, uhamiaji au magereza au zima moto, anapiga hela hateree
Ndugu,
Kuwa makini na watu hawa wanjifanya ni ma supervisor Uchumi Quick mmoja anajiita Anna 0714070332 .na mwingine Alex 0659603292.
Kuwa makini na hizo namba.