Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,098
- 165,911
Usiseme hivyo.wajinga hawaishi duniani[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mmh! Bado siamini kama kuna watu wanaweza kuibiwa kirahisi hivyo
0°na kuna mtu anatuma hiyo laki halafu analia eti katapeliwa
Tamaa ndio inayoua fisiwatu wakisikia pesa hawafikirii kwa undani wanakurupuka
Sa wataniambiaje nineshinda ilhali sikuwa kwenye shindano....., KUDADADEKI ZAOWanakupigia simu kwa namba 0743340917 na nyingi nyinginezo wanakwambi umeshinda kitita cha million MOJA, wakaendelea, ili niipate hiyo pesa (1mil) basi nitume sh laki MOJA kwa namba ,0743340917
wanakujaza tamaa, tamaa hukengeusha ufahamuSa wataniambiaje nineshinda ilhali sikuwa kwenye shindano....., KUDADADEKI ZAO
hahahaaaMie nitawambia wakate hukohuko wanitumie laki 9.
M_PESA ALERTWanakupigia simu kwa namba 0743340917 na nyingi nyinginezo wanakwambi umeshinda kitita cha million MOJA, wakaendelea, ili niipate hiyo pesa (1mil) basi nitume sh laki MOJA kwa namba ,0743340917
Namba yao nyingine hii 0767899440.Wanakupigia simu kwa namba 0743340917 na nyingi nyinginezo wanakwambi umeshinda kitita cha million MOJA, wakaendelea, ili niipate hiyo pesa (1mil) basi nitume sh laki MOJA kwa namba ,0743340917