Kuna mmoja alinipigia simu, akaniambia kuna mtu amekosea kutuma hela ikaingia kwenye simu yako, baada ya hapo akaniuliza una salio kiasi gani kwenye simu....nikamjibu kuna bilioni 2; hapo hapo akanitukana na kukata simu
Kuna mmoja alinipigia simu, akaniambia kuna mtu amekosea kutuma hela ikaingia kwenye simu yako, baada ya hapo akaniuliza una salio kiasi gani kwenye simu....nikamjibu kuna bilioni 2; hapo hapo akanitukana na kukata simu
Yap, ukiwatajia kiasi kikubwa sana lazima anakutukana, likewise nina audio recorded kwa mmoja aliniona mkulima flani hivi, yaani kila anachoniuliza namjibu kwa heshima zote huku narekodi.
Karibia na mwisho yaani nimtumie pesa nikamwambie nimeona kuna salio limeingia sikujua limetoka wapi, ndiposa akasema ni huyo mteja alikosea tunakupa atakupigia umrudishie.
Hapa sasa; mteja wa kike akapiga, kifupi nikamwambia pesa yako nakutumia yote ila sina balance ya kutuma naomba nirushie 12,500 ili nitume pesa yako yote isikatwe.
Mkuu kama umeliwa pesa tafadhali nakuomba ujipige vidole mpaka utoke mavi. Mtu hujacheza bahati nasibu eti unatumiwa ujumbe kuwa umeshinda milioni 7 hutokuwa na wasiwasi kweli wa kutapeliwa? Ujinga mwingine ni wa kujitakia tu.
Bi mkubwa wangu ana umri wa miaka kama 53 hivi ila zikiingia sms za matapeli anajua kabsa huyo ni tapeli na hata wakipiga simu anatambua na simu yake haikosi pesa mara Kwa mara
Wewe kijana mdogo hao wakutapeli si utakuwa na pesa za kuchezea
Ongeza umakini ikiwezekana umuibie yeye anayetaka kukuibia