Matapeli wa kazi

Matapeli wa kazi

contej

Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
11
Reaction score
3
Ndugu mnaoomba kazi kuweni makni kuna baadhi ya watu humu hmu ndani wanadai wanakazi lakn ukfka baada ya kukupa kazi anakutapeli na kukuibia kila kitu ulichonacho hiyo sio picha nzuri hata kidogo wanajamii jaribuni kuwa wakweli kwa wenzenu wanaotafuta sio maana mtu anayetafuta anamatarajio ya kupata sasa unapomuahidi akutafute/ mkutane akupe kazi halafu unamuibia sip vizuri hata kidgo jaman mnaotafuta kazi kuweni makini huu ni ushauri tu, kwa wataftaji
 
Back
Top Bottom