Matapeli wa Ajira

MKUDE SIMBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
305
Reaction score
168
Hallo, am Mr. Rajab from DROLUTION LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia CV za kuinterview for I.T OFFICER post, your cv is good me nataka kukusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 1,200,000/=(take home salary) ukishaanza kazi rasmi utanipa sh. laki 4 kama asante yangu kwa kukusaidia, na kabla ya saa 9 mchana uwe umetuma sh. elfu 40 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali amesema anaitaka leoleo, ntakuforwadia maswali kwenye email, nikitoka kikaoni nitakupigia simu.
 
[MENTION]poleni wahanga....[/MENTION]
 

Asante kwa kutufungua macho mkuu!
 
Ishanitokea hata mimi style hiyohiyo ingawa kampuni tofauti nikaishia kucheka tu.Poleni mliokurupuka na kutuma hizo hela.
 
Mikoani TAMISEMI nao wanakula hela kama wametumwa kuna ajira za VEOs watu wameliwa kweli. Tumefikia kubaya katika sekta hii ya ajira
 
Mikoani TAMISEMI nao wanakula hela kama wametumwa kuna ajira za VEOs watu wameliwa kweli. Tumefikia kubaya katika sekta hii ya ajira

Hivi hatuwezi kuwataja kwa majina hawa matapeli wa ajira maana kwa sisi machipukizi huenda hatuwajui ama hata namba zao za simu kuwekwa hapa sio mbaya tukawajua na hata kwa majina wanayotumia pia,ahsante
 
Kweli hii message kama hii kuna rafiki yangu ametumiwa juzi, nikamwambia kaa mbali na hawa matapeli(mapunga) yalitumia no. Hii 0653964332 so wadau tuwe makini na its better kuanza kuzifanyia analysis hizi no. Kwa kua ni hatari sana na hawana tofauti na wezi wengine wanaotiwa kibiriti mtaani kila leo.
 
Nadhani walikua wanatafuta hela ya pasaka hawa matapeli.
 
Pia mimi niliwahi kutumia sms kama hii,ila bado namtafuta huyu mtu,im doing investigation,siku si nyingi atapatikana,na akipatikana,nitawakalibisha tumpende mawe mpaka afe...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…