Milimwambia Nina Lak Mbl Na 94 Nmb Sasa Niko Mbl Na Mjin Na Nataka Kutoa Hla Kamil Naomb Unitmie Elfu 6 Ili Nkitma Nitme Tatu Kamil Kwa Njia Ya Mpesa Maana Kwny Mpesa Nina Elfu 9namia 3 Jamaa Akajikok Alvo Tma Tu Nkajiunga Bado La Wiki Afu Nkamtext Asanteee Kwa Kejel Alinitkana Kwenye Txt Yn Ofisi Nzma Ilikuwa Inafatilia Kwa Makin Tulicheka Sana, Hao Jamaa Wametapel Wat Weng Sana Na Inawezekan Huwa Wanaushrka Na Wat Wa Karbu Wanao Kufaham Maana Wanakujua Jna ,kaz Unayofanya Na Mahala Unapoish
Hapo naona mwanga uko namba mojaDuuh mi walishanipiga Znzbr na nikawataarifu rafiki zangu wrote baadae wakarudia tena nikapeleka taarifa zote Polisi. Madema znz. Polisi wakasema hawana msaada baadae nilifanikiwa kupata mwasiliano ya Mmoja wao akasema siwezi ua mtandao huo kwani wana watu wengi, na namna tofauti.
hawa waabeshi si machalii ww Arusha? Kama ni hao juzi kati na wenyewe wamepigwa tu M kadhaa na kichapo cha hajaHaaahaaaa wanajiitagaa wahabeshii. Ni vijaana machaliii wanakaaga mahalii ukiwauzia no ya tajir wanakupozaa afuu wanaanzaa kuchekechaa ukizubaa unapigwaa hzo no Kama unazo jarbu kupiga tenaa hazitokaa zipatikanee. Wanalain zinajaa salfet. Niwatuuu wanafahamikaa

Sijui TCRA ipo wapi kwa matapeli kama hawa.
Njia ya kwanza kabisa ya kuepuka utapeli ni kukariri kichwani mwako kwamba "hakuna fedha inayopatikana kirahisi bila kuitolea jasho". Tamaa ndiyo uponza wengi hadi kutapeliwa na pia huruma iliyopitiliza. Nasema hivi kwa sababu kuna wengine wanaotapeliwa si kwa sababu walikuwa na tamaa ya kupata fedha za haraka haraka ila ni kwa sababu ya kuwa na huruma ya kupitiliza kwa wengine hivyo kufikia kutoa msaada bila kujiridhisha kwanza na uhalali au uhalisia wa shida ya anaehitaji msaada.
Haaahaaaa wanajiitagaa wahabeshii. Ni vijaana machaliii wanakaaga mahalii ukiwauzia no ya tajir wanakupozaa afuu wanaanzaa kuchekechaa ukizubaa unapigwaa hzo no Kama unazo jarbu kupiga tenaa hazitokaa zipatikanee. Wanalain zinajaa salfet. Niwatuuu wanafahamikaa
Hao wapo hasa wanakwambia uende maeneo ya river side, niliwashitukia nikamdaka mmoja nikampa kichapo cha kimya kimya pale ubungo, wananchi wakawa wanamuuliza vipi mzee mbona unapigwa akawa anawajibu niacheni tu.