payuka JF-Expert Member Joined Jun 17, 2010 Posts 829 Reaction score 128 Sep 1, 2010 #1 Hivi haya matangazo ya zantel ni mimi mwenyewe huwa yananitatiza ku-ipata message yao mapema au hata ninyi wenzangu? maana jinsi tangazo zinavoanza hadi kuishia ...mwanzoni unakuwa hujui kama ni la Zantel. Konga Moyo!!!!
Hivi haya matangazo ya zantel ni mimi mwenyewe huwa yananitatiza ku-ipata message yao mapema au hata ninyi wenzangu? maana jinsi tangazo zinavoanza hadi kuishia ...mwanzoni unakuwa hujui kama ni la Zantel. Konga Moyo!!!!