mollel arusha
Member
- Apr 26, 2013
- 19
- 8
Matangazo ya pombe yanayotangazwa kila mahali kupitia runinga, internet, magazeti, face book, jamii forum, radio, n.k yamekuwa kero kwangu. hii inaonyesha wazi jinsi gani taifa linahamasishwa kuwa walevi. ni ukweli kwamba ulevi unaenda sambamba na vitendo viovu kama vile: uasherati, uzinzi, wizi n.k kiasi kwamba ndiyo chanzo cha magonjwa ya zinaa. serikali inatumia a lot of money kuwatibu, na wakati mwingine kutumia gharama kubwa sana kuweka matangazo ya kujikinga. kwangu mimi naona serikali inajimaliza yenyewe kwa kuruhusu matangazo ya aina hiyo kila mahali na hapo hapo inatuumia pesa za watanzania kwa matumizi yasiyo ya lazima. pombe ina madhara makubwa sana kama vile ajali tunazoona za barabarani nyingi zinatokana na pombe. waendesha bodaboda wengi ni wanywaji wa pombe na ndiyo wanao maliza watu kwa sababu ya ulevi wa pombe. hivyo ninacho washauri watanzania tumieni hizo fursa kwa matangazo ya maendeleo na kuhamasisha maendeleo na zaidi sana watu wamrudie Mungu na kumpokea Bwana Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao. Mungu awabariki sana.

Hili tamko hata ungelitolea kanisani ungechekwa halijakaa vizuri, kwa mfano:-
1. Unahusisha matangazo ya pombe na ulevi, hivi havina uhusiano kabisa kwasababu Gongo na bangi havitangazwi lakini kuna watu wanavitumia kulewa.
2. Unadai Serikali inatumia pesa nyingi kutibu watu wanaopata madhara kutokana na maradhi yanayohusishwa na Pombe lakini, inaonyesha hujui Serikali inapata wapi pesa zake. Na hata serikali ikipiga marufuku kutangaza pombe bado itaendelea kutibu maradhi ya pombe zisizotangazwa, unaijua Pombe inayoitwa Kitai? hii pombe haitangazwi ila inanywewa kwa kificho kijijini kwetu, na ukiikosea kidogo kuinywa unakufa.
3. Unasema kwa kuacha matangazo ya pombe ni kuhimiza watu kutumia pesa kwa vitu visivyo vya lazima, lakini umesahau ulazima wa bidhaa unatofautiana sana, wakati wewe unaona maziwa ni kitu cha msingi sana, kwangu mimi napenda sana Store yangu ikiwa na Maziwa na Pombe za kutosha, wakati wewe unaona kwenda kanisani ni kitu cha msingi sana, wenzio kwenda bar na club ni kitu cha msingi zaidi. Kwa ufupi unapoandika thread kama hii ujipange umenikwaza sana kuzisema vibaya pombe mbele yangu hasa ukichukulia kesho ni Ijumaa.

kwa udhamini wa pombe umeweza kufungua JF na kutoa mawazo yako. mkuu hayo matangazo yanalipiwa
Hili la JF la Safari Lager linakera..yaani lazima uliclose ndo uweze kuendelea kuperuzi..kwa lisiwe kama mengine yaliyo pembeni au kwa juu!?
Umeshambuliwa na hackers kwenye PC yako!
Are you serious!? Yaani hili tangazo mtandao wa JF haufaidiki nalo!?
Are you serious!? Yaani hili tangazo mtandao wa JF haufaidiki nalo!?
Hili la JF la Safari Lager linakera..yaani lazima uliclose ndo uweze kuendelea kuperuzi..kwa lisiwe kama mengine yaliyo pembeni au kwa juu!?
Mkuu umenikuna. Kwa kumuongezea tu mleta uzi ni kuwa ana habari kuwa MAPADRI na MASISTA wanakunywa pombe? Wakimsikia anaiponda pombe hawatamwelewaHili tamko hata ungelitolea kanisani ungechekwa halijakaa vizuri, kwa mfano:-