Ndugu zangu nimekuwa nikitumiwa matangazo mengi ya biashara kwenye email yangu kutoka kwa makampuni ya biashara, watu binafsi nisio wajua.Kumbuka sijawah kujiunga nataasisi hizo wawe wananitumia hayo matangazo.
Nifanyeje nisipate hizo info kwani zinanikera sana napengine naona kama Email yangu haiko safe