Matamshi ya viongozi yanatisha

Matamshi ya viongozi yanatisha

Kingdom Finder

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
1,118
Reaction score
1,397
Nimesoma mitandaoni kwamba Mh Kapuya anasema wao ndiyo wenye nchi na wanaweza kufanya lolote wanalotaka. Kama hii ni kweli basi hakuna sheria kwa wakubwa. Naomba tu wajue watafanya yote lakini mwisho wa siku wataacha vyote. Nawakumbusha tu kwamba madhambi yao wanayofanya kwenye giza Mungu atayaweka peupe na watadhalilika pamoja na familia zao. Ingekuwa vizuri watanzania mambo ya uovu yanayofanywa na viongozi wawe wa siasa, wa dini tuwe serious katika kuwasaidia polisi maana naona wanagonga kisiki wanaishia kutubabaisha tu. Ni lini tutakuwa wa kweli na kuendesha nchi yetu kwa sheria itakayombana kila mtu?.
 
Kapuya hatari sana alimpa kesi mwanangu mao santiago akafungwa kisa kabandua demu wake
 
Kapuya hatari sana alimpa kesi mwanangu mao santiago akafungwa kisa kabandua demu wake
Kumbe mkuu ni wa siku nyingi humu Mimi nilifikiri umekuja hivi karibuni maalum kutulisha matango pori!
 
Back
Top Bottom