Kwa alioona na kufuatilia media ni wazi watakuawa waskishangaa nini kinaendelea.NI matamasha ya wahuni "Wahuni days".Tamasha linalohusisha wahuni wa CCM kwa ufahidi wa CCM wenyewe.
Mojawapo aya tabia zao ni kupenda igiza vyama pinzani,kuwafanyia fujo,na kuwa wasemaji wa vyama hivyo au hata kuwafariji na kuwasaidia mabaki ambayo bado hayajaamini kutupwa nje ya vyama hivyo.
Maeneo mengisa na atamasha haya yanaoneka kufifia harak asna muda mfupi baada ya kuanza..na wataalamu wa mambo na mashuhuda wanasema matamasha haya ni km hayakufanyika kabisa kwa jinsi yalivyokosa nguvu,mvuto aua ushawishi.
Mwaka huu hawa wahuni wanakwenda sambasamba na mikutano ya CDm haswa ya dr.Slaa.wakiwaigiza, wakipa wujumbe,wakichoba bendera mpya,wakiwa waandishi wa habari na wakiwa km wahusika ktk uchomaji wa Bendera.Sababu za hawa ahuni kufifia huku wakiwa na ufahdili mkubwa wa CCM wenye hele haramu na chafu sana.NI pamoja na kutokuwa namvuto, ni pamoja na wao kuchagua upande mbaya wa historia, upande mbaya wa fikra, na vitu vyote vinavyowaudhi wananachi.
mkuu CDM ni mpango wa Mungu aliye Hai, kwa hiyo yeyote anayejaribu kupambana na CDM ni kwamba anapambana na Mungu so usitegemee waje kumshinda Mungu
Kwa alioona na kufuatilia media ni wazi watakuawa waskishangaa nini kinaendelea.NI matamasha ya wahuni "Wahuni days".Tamasha linalohusisha wahuni wa CCM kwa ufahidi wa CCM wenyewe.
Mojawapo aya tabia zao ni kupenda igiza vyama pinzani,kuwafanyia fujo,na kuwa wasemaji wa vyama hivyo au hata kuwafariji na kuwasaidia mabaki ambayo bado hayajaamini kutupwa nje ya vyama hivyo.
Maeneo mengisa na atamasha haya yanaoneka kufifia harak asna muda mfupi baada ya kuanza..na wataalamu wa mambo na mashuhuda wanasema matamasha haya ni km hayakufanyika kabisa kwa jinsi yalivyokosa nguvu,mvuto aua ushawishi.
Mwaka huu hawa wahuni wanakwenda sambasamba na mikutano ya CDm haswa ya dr.Slaa.wakiwaigiza, wakipa wujumbe,wakichoba bendera mpya,wakiwa waandishi wa habari na wakiwa km wahusika ktk uchomaji wa Bendera.Sababu za hawa ahuni kufifia huku wakiwa na ufahdili mkubwa wa CCM wenye hele haramu na chafu sana.NI pamoja na kutokuwa namvuto, ni pamoja na wao kuchagua upande mbaya wa historia, upande mbaya wa fikra, na vitu vyote vinavyowaudhi wananachi.
KAKA KWENYE KUNDI LA WAHUNI KAMA HAO , YULE ALIYEVUTA BANGI NYINGI ndiyo huwa MSEMAJI MKUU .Hivi msemaji mkuu ktk hayo maandamano ni nani'.? Anyway hawa watu tuwaache maana hii ni kete yao ya pili kutoka mwisho maana kete yao nyingine itakuwa kwenye uchaguz mkuu wa chama.
NILITAKA KUKUDHARAU lakini nikasita ! BAADAYE NIKAAMUA KUKUHURUMIA , POLE SANA !Chadema wasubiri kama miaka mia ijayo kwasasa bado sana
mkuu , DR SLAA ni mwamba usiotikisika , hawa vijana masikini wanaotumiwa na ccm kama makaratasi ya chooni , hawawezi kumshitua SLAA HATA KIDOGO ! CDM DAIMA !
Hivi msemaji mkuu ktk hayo maandamano ni nani'.? Anyway hawa watu tuwaache maana hii ni kete yao ya pili kutoka mwisho maana kete yao nyingine itakuwa kwenye uchaguz mkuu wa chama.
Dr.W.Slaa kaamua wageuza hawa wahuni kuwa specimen ya kufundushia somo kwa wananchi....hii ndio sababu ingine iliyopelekea matamasha ya wahuni wa CCM kudoda.Pengine hata Dr.hajui kuwa walikuwa katk matamasha ya hao wahuni kwa jinsi asivyotikisika .
Kila siku nakuambia usipende kuingia JF huku umetutika viroba.Kwa alioona na kufuatilia media ni wazi watakuawawaskishangaa nini kinaendelea.NI matamasha ya wahuni "Wahuni days".Tamasha linalohusisha wahuni wa CCM kwa ufahidi wa CCM wenyewe.
Mojawapo aya tabia zao ni kupenda igiza vyama pinzani,kuwafanyia fujo,na kuwa wasemaji wa vyama hivyo au hata kuwafariji na kuwasaidia mabaki ambayo bado hayajaamini kutupwa nje ya vyama hivyo.
Maeneo mengisa na atamasha haya yanaoneka kufifia harak asna muda mfupi baada ya kuanza..na wataalamu wa mambo na mashuhuda wanasema matamasha haya ni km hayakufanyika kabisa kwa jinsi yalivyokosa nguvu,mvuto aua ushawishi.
Mwaka huu hawa wahuni wanakwenda sambasamba na mikutano ya CDm haswa ya dr.Slaa.wakiwaigiza, wakipa wujumbe,wakichoba bendera mpya,wakiwa waandishi wa habari na wakiwa km wahusika ktk uchomaji wa Bendera.Sababu za hawa ahuni kufifia huku wakiwa na ufahdili mkubwa wa CCM wenye hele haramu na chafu sana.NI pamoja na kutokuwa namvuto, ni pamoja na wao kuchagua upande mbaya wa historia, upande mbaya wa fikra, na vitu vyote vinavyowaudhi wananachi.
haha..nataka niyasikie Arusha,Mbea,Iringa,Mwanza,shinyanga....na sumbawanga.
Magazeti ya kesho yatakuwa hv.:UHURU;MZIMU WA ZITO WAZIDI KUITESA CHADEMA,.Wananch wamkataa Slaa,wafanya maandamano kumpinga.HABARI LEO:SLAA AONJA JOTO LA MAANDAMANO KIGOMA, MAJIRA:KIGOMA WAIKATAA CHADEMA...,Mi najiuliza hivi CCM ILIJIANDAA KWELI NA MFUMO WA VYAMA VINGI?