Matamasha ya Wahuni Days kwa HIsani ya CHAMA CHA MAPINDUZI yanazidi fifia zaidi nchini

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,261
7,195
Kwa alioona na kufuatilia media ni wazi watakuawa waskishangaa nini kinaendelea.NI matamasha ya wahuni "Wahuni days".Tamasha linalohusisha wahuni wa CCM kwa ufahidi wa CCM wenyewe.

Mojawapo aya tabia zao ni kupenda igiza vyama pinzani,kuwafanyia fujo,na kuwa wasemaji wa vyama hivyo au hata kuwafariji na kuwasaidia mabaki ambayo bado hayajaamini kutupwa nje ya vyama hivyo.

Maeneo mengisa na atamasha haya yanaoneka kufifia harak asna muda mfupi baada ya kuanza..na wataalamu wa mambo na mashuhuda wanasema matamasha haya ni km hayakufanyika kabisa kwa jinsi yalivyokosa nguvu,mvuto aua ushawishi.

Mwaka huu hawa wahuni wanakwenda sambasamba na mikutano ya CDm haswa ya dr.Slaa.wakiwaigiza, wakipa wujumbe,wakichoba bendera mpya,wakiwa waandishi wa habari na wakiwa km wahusika ktk uchomaji wa Bendera.Sababu za hawa ahuni kufifia huku wakiwa na ufahdili mkubwa wa CCM wenye hele haramu na chafu sana.NI pamoja na kutokuwa namvuto, ni pamoja na wao kuchagua upande mbaya wa historia, upande mbaya wa fikra, na vitu vyote vinavyowaudhi wananachi.
 
mkuu CDM ni mpango wa Mungu aliye Hai, kwa hiyo yeyote anayejaribu kupambana na CDM ni kwamba anapambana na Mungu so usitegemee waje kumshinda Mungu
 
Dr.W.Slaa kaamua wageuza hawa wahuni kuwa specimen ya kufundushia somo kwa wananchi....hii ndio sababu ingine iliyopelekea matamasha ya wahuni wa CCM kudoda.Pengine hata Dr.hajui kuwa walikuwa katk matamasha ya hao wahuni kwa jinsi asivyotikisika .
 
Debe tupu haliachi kutika CCM ngoja wapigepige mikono na miguu kwani niwakati wao wa kukata roho.
 
haha..nataka niyasikie Arusha,Mbea,Iringa,Mwanza,shinyanga....na sumbawanga.
 
halafu sasa wakishaandamana kwenye jua kali sana , wanaenda kunywa maji ya visima na kisha wanalala njaa!
 
Hivi msemaji mkuu ktk hayo maandamano ni nani'.? Anyway hawa watu tuwaache maana hii ni kete yao ya pili kutoka mwisho maana kete yao nyingine itakuwa kwenye uchaguz mkuu wa chama.
 
mkuu , DR SLAA ni mwamba usiotikisika , hawa vijana masikini wanaotumiwa na ccm kama makaratasi ya chooni , hawawezi kumshitua SLAA HATA KIDOGO ! CDM DAIMA !
 
Kwa alioona na kufuatilia media ni wazi watakuawa waskishangaa nini kinaendelea.NI matamasha ya wahuni "Wahuni days".Tamasha linalohusisha wahuni wa CCM kwa ufahidi wa CCM wenyewe.

Mojawapo aya tabia zao ni kupenda igiza vyama pinzani,kuwafanyia fujo,na kuwa wasemaji wa vyama hivyo au hata kuwafariji na kuwasaidia mabaki ambayo bado hayajaamini kutupwa nje ya vyama hivyo.

Maeneo mengisa na atamasha haya yanaoneka kufifia harak asna muda mfupi baada ya kuanza..na wataalamu wa mambo na mashuhuda wanasema matamasha haya ni km hayakufanyika kabisa kwa jinsi yalivyokosa nguvu,mvuto aua ushawishi.

Mwaka huu hawa wahuni wanakwenda sambasamba na mikutano ya CDm haswa ya dr.Slaa.wakiwaigiza, wakipa wujumbe,wakichoba bendera mpya,wakiwa waandishi wa habari na wakiwa km wahusika ktk uchomaji wa Bendera.Sababu za hawa ahuni kufifia huku wakiwa na ufahdili mkubwa wa CCM wenye hele haramu na chafu sana.NI pamoja na kutokuwa namvuto, ni pamoja na wao kuchagua upande mbaya wa historia, upande mbaya wa fikra, na vitu vyote vinavyowaudhi wananachi.

Umesoma mpaka darasa la ngapi?
 
Hivi msemaji mkuu ktk hayo maandamano ni nani'.? Anyway hawa watu tuwaache maana hii ni kete yao ya pili kutoka mwisho maana kete yao nyingine itakuwa kwenye uchaguz mkuu wa chama.
KAKA KWENYE KUNDI LA WAHUNI KAMA HAO , YULE ALIYEVUTA BANGI NYINGI ndiyo huwa MSEMAJI MKUU .
 
mkuu , DR SLAA ni mwamba usiotikisika , hawa vijana masikini wanaotumiwa na ccm kama makaratasi ya chooni , hawawezi kumshitua SLAA HATA KIDOGO ! CDM DAIMA !

Haha....alipowaita mbele na kuwapa jukumu la kukaa pale ili watumike km speciemn wakanikumbusha siku moja nilikuwa monduli juu .watoto wa kimasai wana siku ya kwenda chapa tembo fimbo..huwa wanakwenda ktk maeneo yenye miteremko wanwachapa tembo ambao wana[apata sana shida kugeuka.

Vijana walipwe na CCM ,watoke CCM waje fanya kazi wasiyotumwa na aliyeatuma ila wafanya ya waliyetumwa kumdhuru.

Ni kama spy aliyejipendekeza ktk issue ya watu kuwa ni sehemu ya hao watu, halafu akajikuta akipewa kazi ya kumbakisha na walinzi makini wakati target yake ikiondoka,na kuenda sehemu hawezi tena muwahi na kupata vipande muhimu vya mission.
 
Hivi msemaji mkuu ktk hayo maandamano ni nani'.? Anyway hawa watu tuwaache maana hii ni kete yao ya pili kutoka mwisho maana kete yao nyingine itakuwa kwenye uchaguz mkuu wa chama.

Hawakujiandaa awe nani, kati ya zitto, mahariri w amaazeti, lumumba, au..?
 
Dr.W.Slaa kaamua wageuza hawa wahuni kuwa specimen ya kufundushia somo kwa wananchi....hii ndio sababu ingine iliyopelekea matamasha ya wahuni wa CCM kudoda.Pengine hata Dr.hajui kuwa walikuwa katk matamasha ya hao wahuni kwa jinsi asivyotikisika .

Mkuu kitu ambacho hawajakifahamu ni kwamba yule ni Dr. Anafahamu Psychology na Philosophy kwa hiyo haimpi shida kuongea na hao vibaraka wa magambaz!
 
Magazeti ya kesho yatakuwa hv.:UHURU;MZIMU WA ZITO WAZIDI KUITESA CHADEMA,.Wananch wamkataa Slaa,wafanya maandamano kumpinga.HABARI LEO:SLAA AONJA JOTO LA MAANDAMANO KIGOMA, MAJIRA:KIGOMA WAIKATAA CHADEMA...,Mi najiuliza hivi CCM ILIJIANDAA KWELI NA MFUMO WA VYAMA VINGI?
 
Kwa alioona na kufuatilia media ni wazi watakuawawaskishangaa nini kinaendelea.NI matamasha ya wahuni "Wahuni days".Tamasha linalohusisha wahuni wa CCM kwa ufahidi wa CCM wenyewe.

Mojawapo aya tabia zao ni kupenda igiza vyama pinzani,kuwafanyia fujo,na kuwa wasemaji wa vyama hivyo au hata kuwafariji na kuwasaidia mabaki ambayo bado hayajaamini kutupwa nje ya vyama hivyo.

Maeneo mengisa na atamasha haya yanaoneka kufifia harak asna muda mfupi baada ya kuanza..na wataalamu wa mambo na mashuhuda wanasema matamasha haya ni km hayakufanyika kabisa kwa jinsi yalivyokosa nguvu,mvuto aua ushawishi.

Mwaka huu hawa wahuni wanakwenda sambasamba na mikutano ya CDm haswa ya dr.Slaa.wakiwaigiza, wakipa wujumbe,wakichoba bendera mpya,wakiwa waandishi wa habari na wakiwa km wahusika ktk uchomaji wa Bendera.Sababu za hawa ahuni kufifia huku wakiwa na ufahdili mkubwa wa CCM wenye hele haramu na chafu sana.NI pamoja na kutokuwa namvuto, ni pamoja na wao kuchagua upande mbaya wa historia, upande mbaya wa fikra, na vitu vyote vinavyowaudhi wananachi.
Kila siku nakuambia usipende kuingia JF huku umetutika viroba.
 
haha..nataka niyasikie Arusha,Mbea,Iringa,Mwanza,shinyanga....na sumbawanga.

mkuu Nicholaus mimi namsifu sana Dr Slaa kwa hatua aliyoichukua ya kuwaita hao walevi wa viroba wabeba mabango mbele ya mkutano na kuwaomba waeleze madukuduku yao. kwa kweli madukuduku hawana na imedhihirika kuwa wametumwa. hii ni strategy nzuri aliyoitumia dr.

kuonyesha cdm iko gado mikutano yote hao walevi wa viroba na mabango yao wawekwe mbele na waulizwe maswali km wale wa mkutano wa kwanza. cdm ni chama cha demokrasi mkuu. viva cdm. stronger we shall stand, forever.
 
Magazeti ya kesho yatakuwa hv.:UHURU;MZIMU WA ZITO WAZIDI KUITESA CHADEMA,.Wananch wamkataa Slaa,wafanya maandamano kumpinga.HABARI LEO:SLAA AONJA JOTO LA MAANDAMANO KIGOMA, MAJIRA:KIGOMA WAIKATAA CHADEMA...,Mi najiuliza hivi CCM ILIJIANDAA KWELI NA MFUMO WA VYAMA VINGI?

haha..umewapatiahaswa...Plus Zitto Attikisa Bunge kwa kuwasilisha report.Chadema wanyong`onyea..Report iliyomtoa Zitto CDM awaikilisha bungeni
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom