Matajiri matapeli Tanzania hadharani

Yaani mpaka BOT inahusika? Hii hatari!!!!
 
wapigaji wanaathiri sekta ya madini nchini
 
ni hovyo hovyo hovyo shame to REPUPLIC OF TANZANIA, eti tanzania ina jina zuri ugaibuni ni UONGO WA KIUTU UZIMA! SERIKALI LAZIMA IWAKAMATE WAHUSIKA NA IWAITE WALIOTAPELIWA WAKUTANISHWE KWA PAMOJA MAMBO YAUNGURUME!
 
Habari ya siku nyingi hii.......Nisaidie kwenye project yangu yakutajia majambazi ambao ni matajiri kwa kila mkoa na wengi wao ni viongozi waandamizi wa chama dola na wengi wao wako NEC kabisa nani mafia wa kufa mtu na security yao kubwa ni kuwa CCM tu
 
this matter ipo deep kuliko maelezo wahusika ni wengi na ni wanene balaa. sio jambo rahisi kama tunavyodhani lipo.
 
Wenyewe wanapotuachia mashimo si wanafurahi.
Ngoja tu yatapeliwe wazungu wakoloni tu hao.

Wazungu wanatuachia Mashimo, Papa Msofe anawatapeli, ataenda kwenye show ya Akudo atamwaga pesa stejini.....wewe unanufaika nini? Au jamii inapata nini?
 
Aisee
 
Huyo baharia ajulikanae kama Frederick james chacha aisee ana bhalaa sio la nchi hii atakuwa sio mbongo halisi not to be sure, for real that's too much for being a mastermind eboh!!!!
 
Mzamili hawakumtaja dohh
Ila wazee wa wash wengi wamehamia ugx

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…