Matairi bora ya gari na yanapopatikana

Matairi bora ya gari na yanapopatikana

sushii

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
121
Reaction score
34
Wakuu za masiku,
Nimetafuta uzi unaolezea hayo mambo nimekuta nyingi ni za muda sana na hazina mambo yote kwa pamoja naomba watu wenye ufahamu au wanaofany biashara ya matairi ya magari wajitokeze waweze twambia au hata wale walionunua na kujiridhisha kwa ubora nao mtusaidie.

1. Ni tairi gani nzuri kwa mpya zenye ubora (waweza kuweka kwa madaraja kutegemea ukubwa wa tairi)

2. Na zinapatikana wapi, mfano taja mkoa na eneo husika hata kama una mawasiliano twaomba uweke.

3. Pia waweza kuweka aina ya matairi yasiyo na ubora ili watu waweze kuyaepuka lengo kusaidid kupunguza ajali na si kuharibu biashara ya mtu

Nawakilisha na naombeni msaada wenu
 
Duuh wadau hamna anayejua ili au ukumbi tofauti, modereta nisaidie kupeleka jukwaa la magari kwa kweli
 
Mawazo yangu ni kwamba chenye bei kubwa ndio huwa imara, japo si mara zote. Ila tairi nzuri kuna Pirelli, michelin, dunlop n.k
 
Inategemeana na aina ya gari. Ila sijawahi kuona tairi za Michelin za gari ndogo hapa nchini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom