Kuna yale mataa ya Philips ni sekunde 30 tu inawaka ile taa ya kijani nimeshangaa sana na ndio bara bara kuu mbele yake wanakaa Police Trafik kukamata waliounga na taa ya njano na kupigwa faini badala ya wale trafiki wasaidie kuvuta foleni wao ndio wanataka foleni ili wapige fine kweli Bongo maendeleo mtayasikia tuu kwa akili hizo na kutozingatia muda...taa ikiwaka zinapita gari nne tuu ndogo likiwepo kubwa mbele ni mawili tuu...