Lipyusiki
Member
- Feb 7, 2017
- 32
- 13
Naomba kuwasalim kwa Moyo wote ndugu zangu wana Jf
Waziri mkuu alipoulizwa juu ya taratibu za uendeshaji wa nchi kwenye serikali ya awamu ya tano alisema
"Nchi hii inaendeshwa kwa mihimili mitatu, Serikali, Mahakama na Bunge"
"Hakuna mhimili unaoingilia utendaji kazi wa mhimili mwingine" mwisho wa kunukuu.
Swali langu kwako mheshimiwa Majaliwa
Je ni utaratibu gani uliotumika kumpa idhini Makonda kuwataja watumiaji wa mihadarati?
Pili ni wapi duniani vita inapigwa kwa kutangaza kupitia vyombo vya habari??
Tatu, Je nchi yetu haina waziri wa mambo ya ndani??
Nne, Ikiwa waliotajwa na kudhaliliswa na makonda, watabainika kua hawana hatia na wakafungua mashitaka, mtawalipa pesa zetu walala hoi au makonda atahusika??
Tano. Kazi ya usalama wa Taifa ni ipi na wameshindwaje kusaidia Taifa katika kipindi kama hiki??
Nb. Naomba majibu ya maswali yangu japo bado ninayo mengi.