Maswali yangu kuhusu MAHARAGE

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
9,515
7,820
-Hivi ni kwanini mda mwengine yanaumisha tumbo ukishayala?
-Tunaambiwa yana fiber na ufahamu wangu fiber inasaidia sana kwenye choo nahata mwili unakua relaxed kabisa hichi nimekipeleleza ninapotumia Figili, Matango Lakini mbona maharage yanaleta heat zaidi kwenye mwili yani, na mkojo unazidi acid. Yani nikila maharage inanibidi ninywe maji mengi ili kuusikia mwili vizuri tafauti na Figili au Vitango.
- Napia naomba kujua ina effect gani kwa mtu mwenye tatizo la bawasiri mpaka akitumia yanamletea matatizo. Na ninavofahamu mtu mwenye Bawasiri akitumia chakula chenye fiber huwa anapata afadhali.

Naomba kueleweshwa wakuu kwa anayefahamu.

NB: hapa ninamaanisha maharage yalio mekundu kirangi ndio niliozea kutumia.
 
Shida siyo harage,tatizo ni ganda lake lina produce acid flani inayoleta shida sana kumeng"enya. Ndiyo maana ukilimeza zimazima linatoka hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom