Baba ni baba
Senior Member
- Dec 19, 2014
- 113
- 50
Wadau msaada kwa mwenye kufahamu namna maswali yanavyokua kwa kada tajwa hapo juu? Natanguliza shukrani.
Pole kaka na Asante sanaWaswahili sana,wameniandikia overqualified for the post, tembelea uzi wa ajira wana wakupe nondo
Shukrani kaka nikapambanie kombe tu.Kumbe uliomba ile kazi, Mungu akusimamie mkuu na wewe ukalambe asali.
Kwani washaita interview?Wadau msaada kwa mwenye kufahamu namna maswali yanavyokua kwa kada tajwa hapo juu? Natanguliza shukrani.
Mimi cheti cha F4 kilipotea, nishafuatilia Necta ila wanasema kinatoka baada ya miezi 3. Sijui nifanyeje hapo. Nimeona jina langu limetoka pia usailiNdio wameita,tarehe 20 written, Oral tarehe 23.
Na mm hv hvWaswahili sana,wameniandikia overqualified for the post, tembelea uzi wa ajira wana wakupe nondo
Yah,ni kuvitoa next timeNa mm hv hv
Ni kwavile nilitumia na vyeti vya elimu yajuu
Siku nyingine nawaambia wanitolee vyeti navotaka ili kuapply kazi nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app