Festor Sanga
Member
- Mar 6, 2014
- 35
- 7
Poleni Na shughuli za kila siku!!! Msaada kwenye tuta wapendwa kama kuna Mtu ashawahi kufanya interview za utumishi wa mahakama au uelewa itakuwa ni vzuri akiachia katika huu uzi basic question za Hao bwana!! Nikipata utapata pia!!!