Maswali ya usahili TRA

Umenikumbusha mbali

Let it flow
 
Hahaha hili lilikuwa tango pori vipi umebahatika kuyaona hayo maswali ya leo??
 
Ule mtihani ndio kipimo kizuri cha watu makini lakini kama mtu hushinda kwenye timu Kiba na Mondi hakika hatopata hata kipengele kimoja.....
Hata swali la Makinika mtu anakosaje na tumejadili miezi 3?
mh sema hata kama unafahamu cyo kwa kushtukiza japo nalaumu sana usimaizi wa mtihani watu hadi wana chabo lakini wanapeta
 
Ule mtihani ndio kipimo kizuri cha watu makini lakini kama mtu hushinda kwenye timu Kiba na Mondi hakika hatopata hata kipengele kimoja.....
Hata swali la Makinika mtu anakosaje na tumejadili miezi 3?
makinikia peke yake itakutoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…