Huu sasa ni mtihani tena wa masaa matatu.Kwanini Usimpe haya
1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.
2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer
3. Differentiate between Districted and Prohibited goods
4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
5. Describe the following terms as Used in VAT Act
(a) Zero Rated Supplies
(b) Exempt Supplies
(c) Standard Supplies
(d) Out of VAT Scope
6.Differentiate between Identical items and Similar items
7.List items which are included in calculation of
-Business income
-investment income
-Employment income
8.
Tembelea web yao ambayo ni www.ita.ac.tz au ingia web ya TRA kuna link ya ITA paleAda Chuo cha TRA ni Tsh ngapi? Na Kozi zake level ya Advance or Degree?
Sent using Jamii Forums mobile app
duuuuuuNdugu yang kama unafight for something usiogope kupoteza kitu,hivi unazani nafasi ya kazi ikiwa moja alafu wasailiwa wawili lazima mmoja wapo apoteze nauli,no way out,kuna watu huwa wanatamani kwenye usailiwa waitwe peke yao,ukitaka hivyo apply kazi alotangaza baba ako au mama ako,hakuna kada ambayo ikitangazwa msailiwa anakua mmoja,unaogopa kupoteza nauli unataka kazi fala sana,hats kwenye urais wagombea walikua zaid ya 30,unashangaa tax officer, kama huna godfather na unaogopa kupoteza nauli ya usaili jifunze uchawi,na hapo utapoteza muda
asante san mkuushinyanga town SIYO KWA POVU HILO. WAVUMILIE MKUU HAWA GRADUATES WA MIAKA YA KARIBUNI BADO WABICHI KWENYE LABOUR MARKET
MIMI NILIPATA KAZI NAFASI ZILIKUWA 4 NA TULIITWA WATU KAMA 1800 HIVI, WRITTENI TULIPITA 12 NA PASSMARK ILIKUWA 84.5 NAKUMBUKA.
UKIKUTANA NA MASWALI UNAYOYAKUMBUKA VEMA UNACHANA, KINYUME CHAKE UNAANGUKIA PUA.
NAKUMBUKA NILIWAH KWENDA USAILI WA MWANZA NA NILIPANDA PIPA (SIYO KWA KUTAKA, WALINISTUKIZA) ILA NILIAMBULIA PATUPU NA TULIITWA 15 NAFASI 3
KWA HYO IDADI YA WATU ISIWAOGOPESHE, JIANDAENI LAKN MSICOMPLICATE MAMBO KWA 7BU HUWEZ SOMA MAMBO YA MIAKA MI3 KWA WIKI MOJA
MUHMU: USIOGOPE KUCHOMA NAULI MAANA HATA WAHENGA WALISEMA, MTAKA CHA UVUNGUNI SHARTI AINAME.
KILA LA HERI WADOGO.
kwa hyo mzumbe ndiyo watasimamia shooooo?Kwa tetesi ni kwamba chuo cha mzumbe. ndio watasimamia mchakato wa ajira na ndo wameshinda tenda hiyo ya kusimamia na kusahihisha mitihani hadi hatua ya mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
mmmmh hapa lazma mtaftane hapo ndani aiseeeKwanini Usimpe haya
1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.
2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer
3. Differentiate between Districted and Prohibited goods
4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
5. Describe the following terms as Used in VAT Act
(a) Zero Rated Supplies
(b) Exempt Supplies
(c) Standard Supplies
(d) Out of VAT Scope
6.Differentiate between Identical items and Similar items
7.List items which are included in calculation of
-Business income
-investment income
-Employment income
8.
usaili ni kuanzia kesho
This is a written interview,hayo unayoyasema utakutana nayo oral.Interview za kisasa hazipimi mtu amekariri vitu kiasi gani na kama hayo ndiyo probable questions it's very wrong. Leo watu wanatakiwa wapimwe uwelewa wao na jinsi gani mind zao zina uwezo kutatua matatizo ambayo watakutana nayo wakati wa kutimiza matatizo yao. Creaming is out of date, hivyo vingine ni basics ambazo waajiliwa wanapaswa kuzitambua kabla ya kuanza majukumu watakapoajiliwa. Let's move with time team.
acha kuwadanganya huo mchakato wote unasimamiwa na utumishi wenyewe pale kuna kila wataalam wana andaliwa kwa kila interviewKwa tetesi ni kwamba chuo cha mzumbe. ndio watasimamia mchakato wa ajira na ndo wameshinda tenda hiyo ya kusimamia na kusahihisha mitihani hadi hatua ya mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app