Nadhani ujanielewa Kuna watu wemesoma Tax kwenye chuo miaka 2 au 3, halafu Kuna watu wemesoma hiyo Tax semistar 1 au 2, ujuzi wa mambo lazima utakuwa tofauti.mpaka utumishi wakakuita means umesomea ulicho kiomba, ila msaada kuomba sio vibaya watu wako kitaaa mwaka wa tano huu hizo desa anazikumbuka vip, yuko sahihi kuomba msaada
G hapo mkuuQuestion
Five employees were climbing a hill. J was following H. R was just ahead of G. K was between G & H. They were climbing up in a column. Who was the second?
J, G, K, R or H?
vipi kuhusu custom officer mkuuCko dsm kw sasa. But ushauri wangu kwa hyo post, usisahau kupitia issue ya property tax kwani ndo current issue kwa ss TRA. Pitia sheria inayo-govern collection yake (The Urban Authorities Rating Act, pamoja na mabadiliko yake yote). Issues za Sign bord levy ss hv ndo zmeamishwa toka halmshauri kuja TRA. So nazo jaribu kupitia summary yake like rates zake zkoje, due date, who are exempted etc
Thanks
Kwanini Usimpe haya
1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.
2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer
3. Differentiate between Districted and Prohibited goods
4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
5. Describe the following terms as Used in VAT Act
(a) Zero Rated Supplies
(b) Exempt Supplies
(c) Standard Supplies
(d) Out of VAT Scope
6.Differentiate between Identical items and Similar items
7.List items which are included in calculation of
-Business income
-investment income
-Employment income
8.
Cko dsm kw sasa. But ushauri wangu kwa hyo post, usisahau kupitia issue ya property tax kwani ndo current issue kwa ss TRA. Pitia sheria inayo-govern collection yake (The Urban Authorities Rating Act, pamoja na mabadiliko yake yote). Issues za Sign bord levy ss hv ndo zmeamishwa toka halmshauri kuja TRA. So nazo jaribu kupitia summary yake like rates zake zkoje, due date, who are exempted etc
Thanks
Inaonesha Hajawahi Kufanya Interview za Utumishi waulize watu waliopiga Wizara ya Mambo ya Nje Maswali ya International Trade Yale Yale ya Kwenye CPA kama Umesoma Mambo sociology huko Usipotoshe Masomo ya Biashara yana Uwanja Mpana Sana mkuu nakumbuka interview ya Mwaka 2015 ya TRA Maswali yalikia ya CPA (Board tuu)Interview za kisasa hazipimi mtu amekariri vitu kiasi gani na kama hayo ndiyo probable questions it's very wrong. Leo watu wanatakiwa wapimwe uwelewa wao na jinsi gani mind zao zina uwezo kutatua matatizo ambayo watakutana nayo wakati wa kutimiza matatizo yao. Creaming is out of date, hivyo vingine ni basics ambazo waajiliwa wanapaswa kuzitambua kabla ya kuanza majukumu watakapoajiliwa. Let's move with time team.
Inaonesha Hajawahi Kufanya Interview za Utumishi waulize watu waliopiga Wizara ya Mambo ya Nje Maswali ya International Trade Yale Yale ya Kwenye CPA kama Umesoma Mambo sociology huko Usipotoshe Masomo ya Biashara yana Uwanja Mpana Sana mkuu nakumbuka interview ya Mwaka 2015 ya TRA Maswali yalikia ya CPA (Board tuu)
We are backwards
Ungeweka na majibu basi kama unayajuaKwanini Usimpe haya
1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.
2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer
3. Differentiate between Districted and Prohibited goods
4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
5. Describe the following terms as Used in VAT Act
(a) Zero Rated Supplies
(b) Exempt Supplies
(c) Standard Supplies
(d) Out of VAT Scope
6.Differentiate between Identical items and Similar items
7.List items which are included in calculation of
-Business income
-investment income
-Employment income
8.
Ww siyo mtu mzuri kabisa daaah yan hadi nimeogopa, yan eeeeeeeeh mbona huko makazini asilimia kubwa vimeoooo? Kwa maswali haya aseee hatariKwanini Usimpe haya
1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.
2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer
3. Differentiate between Districted and Prohibited goods
4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
5. Describe the following terms as Used in VAT Act
(a) Zero Rated Supplies
(b) Exempt Supplies
(c) Standard Supplies
(d) Out of VAT Scope
6.Differentiate between Identical items and Similar items
7.List items which are included in calculation of
-Business income
-investment income
-Employment income
8.
Habari zenu wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo kwa wenye uzoefu na interview za tra vipi maswali yanaweza kua kwa upande gani hasa kwa nafasi ya custom officer II pamoja na Tax officer II
Naomba kwa wenye ujuzi na uelewa zaidi tusaidiane wakuu
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
GQuestion
Five employees were climbing a hill. J was following H. R was just ahead of G. K was between G & H. They were climbing up in a column. Who was the second?
J, G, K, R or H?